Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Nafuatilia hapa JF.

Na katika akaunti ya Jambo TV YouTube.

Kote kumewekwa polls na Lissu kaongoza kwa zaidi ya asilimia 85.

Ujumbe huu ni muhimu sana wajumbe wanapaswa kuuelewa.
Uchaguzi gani mpaka hivi sasa haujafanyika ase?

Kwa nini weshindwa kujipanga juu ya jambo hili muhimu.

ni ajabu sana, sasa hivi ni saa 8:06 usiku wa tarehe 22 Januari, 2025 lakini bado tu kura bado hazipigwa!? ni kweli kwamba walijiandaa kwa zoezi hilo?
 
Hapa ili kukamilisha zoezi la upigaji kura kwa hii idadi ya watu 6 kwa mpigo

Itachukua round 166 kukamilisha idadi ya wajumbe wote 996 kupiga kura.

Meanwhile kila round itachukua wastani wa dakika 2 kukamilika. Maana yake hapa kuna masaa yasiyopungua matatu kumamilisha huu mchakato

Na mind you kuna wajumbe kama watatu wameongezwa kwenye list ambao mwanzo hawakuwepo.
 
Kuna mafala watakuja na "Breaking News"
F.A.M ashinda uenyekiti
Wtf kwani alisema anagombea vp huku kashajichagua.
 
ni ajabu sana, sasa hivi ni saa 8:06 usiku wa tarehe 22 Januari, 2025 lakini bado tu kura bado hazipigwa!? ni kweli kwamba walijiandaa kwa zoezi hilo?
Na kila muda wanatangaza kuongeza wajumbe. Hawa jamaa wananipa mashaka.
 
Nao
Saba mkuu
 
166 * 2 /60 = saa 5 na dakika 30.

Kwa hiyo hadi saa mbili asubuhi zoezi litakuwa bado halijakamilika wakiendelea kwa kasi hiyo.
 
pasco naona na wewe ni mjumbe mkuu
 
Hili zoezi wamelifanya kuwa gumu wao wenyewe. Uongozi ni wazi haukujipanga vizuri kwa ajili ya uchaguzi huu.
Dhana ya uhuru, haki na uwazi ndio inayowapa adhabu.

Hata hivyo wamejitahidi ku minimize muda tofauti na zile chaguzi za mabaraza zilivyofanyika.

Huu uchaguzi una asilimia nyingi kutamatika saa 11 au 12. Chaguzi za mabaraza zilichukua 24 hrs
 
Hii ngoma inawakuta watu asubuhi wakiwa kwenye foleni kuelekea makazini. Ngoja niweke alarm ya sa 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…