maskini matokeo ya Lema yanawapoteza maboya dah 🐒
Hivyohivyomdomo umeisha charge 🐒
Kura bado zinahesabiwaHakuna mwenye uhakika
Pole sanaLISSU hatoboi
Kikosi kazi k
Kikosi kazi k
na bado 🐒Hivyohivyo
Belgium inanukiaNiambieni nicheke
Weeeeee..Duuuh, mbona kula za Mbowe ni nyingi sana!?
Inamaana wajumbe wameamua kukiua chama kizembe hivi!?
Kweli CHADEMA hawajitambui.
Watu hawajalala hadi asubuhi hii ikiwa ni pamoja na mabalozi wa nchi mbalimbali waliohudhuria uchaguzi Mlimani City. Haijapata kutokea.Dunia ipi hy mkuu, em acha kujidanganya na ujinga wako
Boni Yai ana makaratasi Mengi zaidi ya LemaPole sana
Mbowe anashinda uchaguzi huuDuuuh, mbona kula za Mbowe ni nyingi sana!?
Inamaana wajumbe wameamua kukiua chama kizembe hivi!?
Kweli CHADEMA hawajitambui.
Naona MBOWE anapelekwa
Team Lissu iwe makini maana Mbowe kajipanga vilivyo.
Lisu ameshindaMmeshindwa kabisa kupata walau tetesi toka chumba cha kuhesabia kura😂😂😂😂