mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,216
- 3,319
Mbowe ni duka halisi before sikulijua hiliMie nimeamua kwenda ACT, dalali Mbowe atabaki na li saccos yake na manyumbu yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe ni duka halisi before sikulijua hiliMie nimeamua kwenda ACT, dalali Mbowe atabaki na li saccos yake na manyumbu yake.
Boni yai namuona hapoBado majukumu yanaendelea
View attachment 3209506
We babu, mimi kumbe sijamsikia vizuri, hivi amesema ''hiyo ndio chandema''?Matokeo yapi wakati mshindi yule pale anacheka na kusema hiyo ndio chandema
Bado majukumu yanaendelea
View attachment 3209506
Hamuamini mnachokiona mpaka sasa😂😂😂😂Hii ni kula sio kura tena.
Umewezaje kumuona,kwasababu ya ubonge wake!!!Boni yai namuona hapo
Tulia wewe taa zipo kila kitu kipo waziUchaguzi gani huu unafanyika usiku wa manane?
Tayari hapo atayeshindwa atapata sababu zake za kutilia shaka matokeo.
They are figureheads,Zoezi dogo ambalo walikuwa na muda wa kutosha kabisa kujiandaa nalo, linachukua siku na usiku mzima kulikamilisha!
Linakiasiki vibaya chama chao.
They’re not ready for prime time.
Mimi nadhani uchaguzi huu ni kiini macho tu.hawa jamaa mchana walikuwa wapi bana
Mila jambo ni mchakato👌🏿💪🏿
Walikuwa wanaunda roketi ya kwenda sayari ya Mars.hawa jamaa mchana walikuwa wapi bana
Sijui kwanini nimeshindwa kulala leo, kweli CHADEMA mmejua kutushika, lissu akipita ,akagombea urais kura yangu ya Magufuli kipindi kile itahamia kwake.