Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
20250122_040719.jpg
 
Wandewa walipokosa cha kukosoa kwenye ua zuri la rose (rose flower) walisema lakini lina miba
hapana, john mnyika kwa kweli ameiangusha sana chadema. mimi binafsi sikutegemea kwamba kama hali ingekuwa kama hivi.
kama uchaguzi wa watu 1200 tu unachukua siku mbili, je, uchaguzi wa watu milioni nane ungechukua siku ngapi?
 
Nilitaka kuuliza swali
inashangaza sana,
john mnyika kwa kweli ameiangusha sana chadema. mimi binafsi sikutegemea kwamba hali ingekuwa kama hivi.
kama uchaguzi wa watu 1200 tu unachukua siku mbili, je, uchaguzi wa watu milioni nane ungechukua siku ngapi?
 
Kuomba kura kwa Wagombea usifanyike siku ya uchaguzi.

Ndipo kunachelewesha mambo.
 
yanayofanyika kwenye uchaguzi huu yana tofaufi gani na yale ambayo huwa yanafanyika kwenye chaguzi zile zinazosimamiwa na jecha?
like jecha like john mnyika!
, mmeshindwa kabisa kuonyesha mfano mzuri ambao ccm wangeweza kuiga kutoka kwenu. mmeshindwa kabisa. shame on you!
Wape maua yao CHADEMA.
SISI huku kwetu hakuna uwazi kiasi hiki.
Acha wivu.
 
inashangaza sana,
john mnyika kwa kweli ameiangusha sana chadema. mimi binafsi sikutegemea kwamba hali ingekuwa kama hivi.
kama uchaguzi wa watu 1200 tu unachukua siku mbili, je, uchaguzi wa watu milioni nane ungechukua siku ngapi?
Zoezi dogo ambalo walikuwa na muda wa kutosha kabisa kujiandaa nalo, linachukua siku na usiku mzima kulikamilisha!

Linakiasiki vibaya chama chao.

They’re not ready for prime time.
 
hapana, john mnyika kwa kweli ameiangusha sana chadema. mimi binafsi sikutegemea kwamba kama hali ingekuwa kama hivi.
kama uchaguzi wa watu 1200 tu unachukua siku mbili, je, uchaguzi wa watu milioni nane ungechukua siku ngapi?
Kumbuka haikuwa uchaguzi tu bali ilikuwa ni pamoja na CHADEMA DAY..fuatilia matukio ya tangu jana.. Trust me ameweza tena pakubwa mno
downloadfile-1.jpg
 
Back
Top Bottom