Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Mi nilichapa usingizi nimeamka muda ule ulivyo niona hapa. We lala saa 2 asubuhi ndio watamalizana na hili zoezi naona 😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nilichapa usingizi nimeamka muda ule ulivyo niona hapa. We lala saa 2 asubuhi ndio watamalizana na hili zoezi naona 😁😁
Haya ndio matamanio yako.Kama wako serious kweli kushika hatamu ya uongozi, lazima wabadilike. Kama mwendo ndio huu, wasahau kabisa habari za kuwa mbadala wa chama tawala.
Maana ya uwakilishi ni nini? Watu wachache wanafanya maamuzi kwa ajili ya wengi.Je kila mwanachama angepata hivyo vijitabu? Au wajumbe tu ndio wangepata?
Ripoti ya utekelezaji haiwahusu tu wajumbe waliohudhuria bali pia wanachama wote nchi nzima kwahiyo ilikuwa sahihi.
Fidel Castro aliwahi kutoa speech ya masaa 4 na dakika 29 UN. Kwani walishindwa kumuambia awagawie transcripts wasome ili waokoe muda?
" hao bado wachanga, hawawezi kitu " - @Jasmon Tegga uko sahihi sanaKwani kabla ya zoezi muhimu kama hili, huwa hawafanyi vikao vya maandalizi? Maana kuna mambo ukiyatazama, hadi mwenyewe unashikwa hasira.
Kuna watu wanaweza kuona zoezi linavyoenda, wakaishia tu kusonya na kusema hao bado wachanga, hawawezi kitu.
Idadi ya wajumbe wasiofika 1000, zoezi lote lilitakiwa liwe limekamilika ndani ya saa 2 au 3 tu!
Hakika kabisa mama D" hao bado wachanga, hawawezi kitu " - @Jasmon Tegga uko sahihi sana
Wao wanadai eti walishavuka huko kitambo, lakini sasa utendaji wao na jinsi wanavyoendesha mambo vinazidi kuwasaliti na kuwaumbua.Kuna tofauti kubwa sana kati ya chama cha siasa cha upinzani na kampuni ya kina tundu
Lissu au Mbowe ameshinda UIchaguyzi kama vile Samia na mwenzie walivyoshinda kuwa wagombea wa CCM.
Tanzania itaongozwa na ama CHADEMA au CCM.
Tanzania hiyo ndiyo wanainchi wanataka
Basi kuna dalili za shenanigans hapo….5,000? Wajumbe hata hawafiki 1000!
Hapa mpwapwa najilia jero zangu nitakutumia pichaCHADEMA kimethibitisha ukubwa wake.. Nchi imesimama inasubiri matokeo
Wakulaumu wanalaumu
Wakubeza wanabeza
Wahuni
Washambenga
Maadui wote wamejazana hapa hawajalala kabisa😂😂😂View attachment 3209437
Mkuu bando linaisha na nimeshakopaMatokeo yatatangazwa kukipambazuka baada ya kuhakiki kila kitu kimeenda sawa.. Wenye haraka ya kutaka kujua mshindi rudini mkalale tu kwanza
Niko Live Nimewasha VPN.Matokeo yatatangazwa kukipambazuka baada ya kuhakiki kila kitu kimeenda sawa.. Wenye haraka ya kutaka kujua mshindi rudini mkalale tu kwanza
Hapa mpwapwa najilia jero zangu nitakutumia picha