Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Good morning wana JF

Nimeamka nimesali

Nasikia ka AI(sisemi kivipi) inaniambia ya vidokezo list mara eti kwamba bado Mlimani City wamoooo

Sasa najiuliza kabisa na misaada ya wazungu mbona Chadema ipo nyuma sanaaaa kiteknolojia

Yaani iweje iwe 24 hrs

Hii ni aibu kubwaaa


Semeni tuwape updrade na inakuwa no kuiba pia...

Hakika kwa na aye angalia anaweza kujua matokeo tayari

Mshindi amepatikana kwa haki, no kulalamika aiseeee nanyi mmeonyeshwa mubasharaaaa

Ngoja niende kufanya yangu 6
Muwe na siku njema

Msigombane humu wajameni...
 
😂😂😂😂
 
Hatuwezi kugombana, me namsubiria huyu mjumbe anayeishi hapa mtaani kwangu.
Akirudi tu ninaye!
Atanieleza vizuri kampigia kura nani, shwaini kabisa!!!
 
Wewe ni Nembo na alama ya ushindi, amani , umoja, mageuzi ujasiri na demokrasia ndani ya Chadema. Kwa fursa na nafasi hiyo, watumikie wanachadema katika umoja wao, nenda kakijenge chama katika misingi ya kuanzishwa kwake.

Hongera sana Tundu Antipas Mughwai Lisu na Odero Charles kwa kuthubu na bila kukata tamaa katika kuimarisha haki, uhuru na uwazi katika chaguzi ndani ya Chadema. Ustahimilivu na subra zenu zimewaunganisha wana Chadema.

Mwisho wa uchaguzi moja ndio mwanzo wa uchaguzi mwingine. Nafasi bado ipo. Ni kujipanga tu.
Hii imeenda.🐒

Mungu Ibarki Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…