George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Naona Boni yai ana mikaratasi ya kula za Mbowe hadi zinamshinda kushika.Mbowe anashinda uchaguzi huu
Sijajua masanduku ya kula mengine hali ipoje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona Boni yai ana mikaratasi ya kula za Mbowe hadi zinamshinda kushika.Mbowe anashinda uchaguzi huu
ZikowapiDuuuh, mbona kula za Mbowe ni nyingi sana!?
Inamaana wajumbe wameamua kukiua chama kizembe hivi!?
Kweli CHADEMA hawajitambui.
Naona Boni yai ana mikaratasi ya kula za Mbowe hadi zinamshinda kushika.
Sijajua masanduku ya kula mengine hali ipoje.
Hadi sasa LISSU anaongoza kwa kuraNaona Boni yai ana mikaratasi ya kula za Mbowe hadi zinamshinda kushika.
Sijajua masanduku ya kula mengine hali ipoje.
😂😂😂😂Good morning wana JF
Nimeamka nimesali
Nasikia ka AI(sisemi kivipi) inaniambia ya vidokezo list mara eti kwamba bado Mlimani City wamoooo
Sasa najiuliza kabisa na misaada ya wazungu mbona Chadema ipo nyuma sanaaaa kiteknolojia
Yaani iweje iwe 24 hrs
Hii ni aibu kubwaaa
Semeni tuwape updrade na inakuwa no kuiba pia...
Hakika kwa na aye angalia anaweza kujua matokeo tayari
Mshindi amepatikana kwa haki, no kulalamika aiseeee nanyi mmeonyeshwa mubasharaaaa
Ngoja niende kufanya yangu 6
Muwe na siku njema
Msigombane humu wajameni...
Hatuwezi kugombana, me namsubiria huyu mjumbe anayeishi hapa mtaani kwangu.Good morning wana JF
Nimeamka nimesali
Nasikia ka AI(sisemi kivipi) inaniambia ya vidokezo list mara eti kwamba bado Mlimani City wamoooo
Sasa najiuliza kabisa na misaada ya wazungu mbona Chadema ipo nyuma sanaaaa kiteknolojia
Yaani iweje iwe 24 hrs
Hii ni aibu kubwaaa
Semeni tuwape updrade na inakuwa no kuiba pia...
Hakika kwa na aye angalia anaweza kujua matokeo tayari
Mshindi amepatikana kwa haki, no kulalamika aiseeee nanyi mmeonyeshwa mubasharaaaa
Ngoja niende kufanya yangu 6
Muwe na siku njema
Msigombane humu wajameni...
Nguvu ya umma itazibiti mipango yote haramu
Shukrani chiefSAfiri salama
Bado sanana bado 🐒
ashinde tu wananchi wataajua wakiunge chama gani kunako uchaguzi mkuuMbowe anashinda uchaguzi huu
Video?Boni Yai ana makaratasi Mengi zaidi ya Lema
Labda ni wenge langu tu mkuu. Ila sina imani kabisa, nimeacha kutazama ngoja nisubirie matokeo tu.Zikowapi
Me too.Sijui kwanini nimeshindwa kulala leo, kweli CHADEMA mmejua kutushika, lissu akipita ,akagombea urais kura yangu ya Magufuli kipindi kile itahamia kwake.
Ngoja nichungulie tena, labda niliona vibaya.Naona Lema anapokea tu kura za Lissu. Nadhani Lissu anashinda.