Mtasema yote🤣🤣🤣🤣Wingi wa kura si ishara kuwa unapendwa.
Hatuwezi kugombana, me namsubiria huyu mjumbe anayeishi hapa mtaani kwangu.
Akirudi tu ninaye!
Atanieleza vizuri kampigia kura nani, shwaini kabisa!!!
Kila siku chaguzi zenu "kapita bila kupingwa".🤣🤣🤣
Bora hao wa kijani/njano hawategemewi kwamba watataka kulambwa miguu..
Nawe nae
Sasa hapo na hao wooote bado mpo enzi za kale
Kwani zimepigiwa vichochoroni?kura zimepigwa na kuhesabiwa watu wote wanaona liveWingi wa kura si ishara kuwa unapendwa.
Hizo 24 hrs ni pamoja na hotuba zile plus uhakiki, au ni za kupiga kura na kuhesabu tu?
Kwamba wewe kwenye keyboard upo makini sana kuliko Lema aliye naye mezani? 😄😄😄View attachment 3209552
Boni Yai ana vibunda viwili vya kura, kibunda kimoja kipo mezani, kibunda kingine amekishika mkononi.
Mbowe kura hizi amezitoa wapi?
😀😀😀Kwa kweli demokrasia ni ngumu ndio maana CCM hawaipendi
Lisu ameshinda wadau, ushahidi huu apaaaaaaMpka sasa sio rahisi kusema fulani ameshinda au la.
Kila siku chaguzi zenu "kapita bila kupingwa".
Asipingwe yeye ni nani?
Lema pia ana kibunda amekiweka miguuni.View attachment 3209552
Boni Yai ana vibunda viwili vya kura, kibunda kimoja kipo mezani, kibunda kingine amekishika mkononi.
Mbowe kura hizi amezitoa wapi?
Ni CCM haoMbona malalamiko mapema hivi?
kwani matokeo tayari?
Kura si zinapigwa kwa uwazi live?
CHADEMA hatuna ramli chonganishiZa chini nimepata ujumbe Mbowe kashinda