Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mmmmmgh Wewe ni CHADEMA? Au umetumwa??Bado najiuliza hawa watu waliompigia kura Mbowe wametokea wapi?
Ni Watanzania wenzetu kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmmgh Wewe ni CHADEMA? Au umetumwa??Bado najiuliza hawa watu waliompigia kura Mbowe wametokea wapi?
Ni Watanzania wenzetu kweli?
Tafadhali tuheshimiame Abby!Uchaguzi lisu anashinda tatizo angle ya camera ndio inafanya muone lema ana kibunda kidogo.
Wajumbe wenye njaa! Wameambiwa nikishinda nawapa mitajiBado najiuliza hawa watu waliompigia kura Mbowe wametokea wapi?
Ni Watanzania wenzetu kweli?
Tayari.Bado tu
Ndugu yangu, ni mpumbavu Tu atakayesema Maneno kama haya as if hajui uporaji uliotokea.Kutoka wabunge 72 hadi 0 unasemaje Chama kipo imara?
Mama alikutengua nini? Maana naona hata hivyo wewe na jamaa yako Magonjwa Mtambuka na ISIS mmekata moto kabisa.
RUSHWA RUSHWA RUSHWAKwani zimepigiwa vichochoroni?kura zimepigwa na kuhesabiwa watu wote wanaona live
Hakuna wa kumlaumu hapo
Mkuu tunasafirishaTunasubili tuone kama tunazika hapa hapa au tunasafilisha
Mimi ni Mtanzania na nipo Tanzania.Mmmmmgh Wewe ni CHADEMA? Au umetumwa??
tena kwa kishindo kikuu zaidi ya cha wale wakoma kilicho wakimbiza washami 🐒Mbowe Ni SMART mno kushinda Lissu na hili ndilo litamuangusha Tundu Lissu, ukiona mbowe kaingia kwenye uchaguzi ujue sio kwa bahati mbaya anajua atashinda, Lissu kawekeza nje zaidi ya chama badala kwa wajumbe
Uporaji umetokea sababu M/kiti kaishiwa makali! Sasa kwanini apewe miaka mingine tena ya kuongozaNdugu yangu, ni mpumbavu Tu atakayesema Maneno kama haya as if hajui uporaji uliotokea.
Ulikuepo? Wewe ni mjumbe? Duh hufanani na haya unayoandikaWajumbe wenye njaa! Wameambiwa nikishinda nawapa mitaji
Utaniambia alafu nani anahesabu kura kwa namba? Itakuwaje kama mmoja akizodisha.Tafadhali tuheshimiame Abby!