Mark my wordsCHADEMA hatuna ramli chonganishi
Mzee, kama na kwenye masanduku mengine hali ipo kama kwenye sanduku hili la Lema na Boni Yai, Mbowe anashinda huu uchaguzi.Kwamba wewe kwenye keyboard upo makini sana kuliko Lema aliye naye mezani? 😄😄😄
Mama alikutengua nini? Maana naona hata hivyo wewe na jamaa yako Magonjwa Mtambuka na ISIS mmekata moto kabisa.🤣🤣🤣
Hayo ya CCM yanawahusu wao
Labda nao wapo nyuma kama nyie, ila zaidi yenu kidogo.. Hatuwezi jua hilo kwa sasa
Sina kadi ya chama chochote
Nimekuwa hapa Tangu enzi za Zitto so Maneno yako Sio mageni Kwangu. CHADEMA ipo na itaendelea kuwepoMark my words
😃 anahutubia wana habari wawili
Ukishaona Tu MTU anasema eti hana chama au sina Kadi ya chama Ujue Hilo ni li CCMMama alikutengua nini? Maana naona hata hivyo wewe na jamaa yako Magonjwa Mtambuka na ISIS mmekata moto kabisa.
Ungekua unaangalia wanavyohesabu kula ungesema Shadow yupo sahihi!Nimekuwa hapa Tangu enzi za Zitto so Maneno yako Sio mageni Kwangu. CHADEMA ipo na itaendelea kuwepo
Kashinda,kura zimepigwa na kuhesabiwa live wote wanaonaLisu ameshinda wadau, ushahidi huu apaaaaaa
Hapana mkuuNaziona kura nyingi zinaenda kwa Mbowe. Matokeo ndo hayo!! tujiandae kisaikolojia.
Concern Yangu ni kwamba CHADEMA ni kubwa sana kwahio be it Lissu au Mbowe, CHADEMA itabaki kuwa imaraUngekua unaangalia wanavyohesabu kula ungesema Shadow yupo sahihi!
Bado najiuliza hawa watu waliompigia kura Mbowe wametokea wapi?Lema pia ana kibunda amekiweka miguuni.
Ila hata mimi nimejiuliza na kuona CHADEMA nao ni kama CCM
Kutoka wabunge 72 hadi 0 unasemaje Chama kipo imara?Concern Yangu ni kwamba CHADEMA ni kubwa sana kwahio be it Lissu au Mbowe, CHADEMA itabaki kuwa imara
Okay gentleman 🐒Weka halisi achana na katuniView attachment 3209557
Sasa Ccm inaingiaje hapo,wakati wote mnahesabu kura zenu liveCCM wameshafanya yao..