Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Msimamizi wa uchaguzi mkuu mwaka 2025 - Zile figisu na Fitina zenu za CHADEMA zitaishia mbalali maana mmetufundisha wenyewe
 
Asalaam...


Nimejaribu kuwaza juu ya uchaguz unaendelea wa chama cha chadema nimebaini mbowe anaenda kushinda kihalal sababu ya kujiandaa na ndan ya uchaguz na nje ya uchaguz

Idad ya wapiga kura ni 1300 plus idad ya wapiga kura aliowaandaa mbowe na kuwafungia sehem mbal mbal wenginr wanamshabikia lissu kinafiki ni mia 700 plus ukichukua 1300 kutoa 700 unapata wapiga kura 600 wa kugombania kat ya mbowe na lissu


Hongera mbowe hakika uchaguz ni sayansi sio mayowe tu
 
Lissu kashtukiziwa, anataka kukiua chwm
 
CHADEMA wachukue uamuzi mgumu,wasimpe nafasi Mbowe wala Lisu,wampe nafasi Odero,itakuwa njia sahihi ya kuua makundi yote ndani ya CHADEMA.
Kisha uchaguzi mkuu Lisu agombee uraisi,Mbowe awe makamu wa Raisi
 
Watu 10 umesema umeshinda?
 
Hao 700 umewatoa wp, msimpe matumaini mzee wa watu ameshajichokea hadi anaanza kuamkia wajumbe, mwache wampumzishe leo
 
Karibu sana siasani mgeni. Karibu kwa wataalamu wa siasa kina Mbowe. Nakuapia, 3/4 ya hao waliojitokeza kwenye vyombo vya habari akihojiwa na kusema hivyo walivyosema, wanampigia kura Mbowe. Siku nikipata nafasi nitakufundisha kitu kuhusu siasa Ili utoke usingizini. Mpaka huo mchezo wanaocheza hao wanaohojiwa una jina lake, nitakutajia nikitulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…