Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu kashtukiziwa, anataka kukiua chwmAsalaam...
Nimejaribu kuwaza juu ya uchaguz unaendelea wa chama cha chadema nimebaini mbowe anaenda kushinda kihalal sababu ya kujiandaa na ndan ya uchaguz na nje ya uchaguz
Idad ya wapiga kura ni 1300 plus idad ya wapiga kura aliowaandaa mbowe na kuwafungia sehem mbal mbal wenginr wanamshabikia lissu kinafiki ni mia 700 plus ukichukua 1300 kutoa 700 unapata wapiga kura 600 wa kugombania kat ya mbowe na lissu
Hongera mbowe hakika uchaguz ni sayansi sio mayowe tu
Watu 10 umesema umeshinda?Nafatilia mubashara matangazo ya mkutano mkuu wa CHADEMA kupitia UTV, kiukweli hali ni ngumu sana kwa Mbowe! Kila mjumbe anayehojiwa anazungumzia mabadiliko na namna alivyojipanga kumpa kura yake Lissu. Kweli mchezaji bora ni yule anayejua wakati sahihi wa kushuka jukwaani.
Ikitokea Mbowe akashinda basi ajipange kuongoza chama mfu.
Hao 700 umewatoa wp, msimpe matumaini mzee wa watu ameshajichokea hadi anaanza kuamkia wajumbe, mwache wampumzishe leoAsalaam...
Nimejaribu kuwaza juu ya uchaguz unaendelea wa chama cha chadema nimebaini mbowe anaenda kushinda kihalal sababu ya kujiandaa na ndan ya uchaguz na nje ya uchaguz
Idad ya wapiga kura ni 1300 plus idad ya wapiga kura aliowaandaa mbowe na kuwafungia sehem mbal mbal wenginr wanamshabikia lissu kinafiki ni mia 700 plus ukichukua 1300 kutoa 700 unapata wapiga kura 600 wa kugombania kat ya mbowe na lissu
Hongera mbowe hakika uchaguz ni sayansi sio mayowe tu
Kwamba na yeye amepewa b12 na Samia kama alizopewa Mbowe?Nasupport Lissu kushinda lakini najua na yeye ni walewale..!
Makamu wa Rais huwa lazima atoke ZanzibarCHADEMA wachukue uamuzi mgumu,wasimpe nafasi Mbowe wala Lisu,wampe nafasi Odero,itakuwa njia sahihi ya kuua makundi yote ndani ya CHADEMA.
Kisha uchaguzi mkuu Lisu agombee uraisi,Mbowe awe makamu wa Raisi