Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Mbowe Ni SMART mno kushinda Lissu na hili ndilo litamuangusha Tundu Lissu, ukiona mbowe kaingia kwenye uchaguzi ujue sio kwa bahati mbaya anajua atashinda, Lissu kawekeza nje zaidi ya chama badala kwa wajumbe
 
Mama alikutengua nini? Maana naona hata hivyo wewe na jamaa yako Magonjwa Mtambuka na ISIS mmekata moto kabisa.

Sijawahi kutumikia cheo au nafasi yoyote kwenye chama au serikalini.

Mimi ni Cocochanel kiboko ya kuchokoza na kutingisha wa JF.

Naona kwa maneno yenu humu.. Roho zenu juu juu

Anzeni kujifunza kuvutia pumzi maana pogo mnalo leo 🤣🤣🤣
 
Mbowe Ni SMART mno kushinda Lissu na hili ndilo litamuangusha Tundu Lissu, ukiona mbowe kaingia kwenye uchaguzi ujue sio kwa bahati mbaya anajua atashinda, Lissu kawekeza nje zaidi ya chama badala kwa wajumbe
tena kwa kishindo kikuu zaidi ya cha wale wakoma kilicho wakimbiza washami 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…