Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Haya maswala yakutoa maneno Twitter kuleta huku, muache. Subiri matokeo. Ya live huku.
Mkuu ukiwa live jambo tv hauhitaji kutoa maneno Twitter.

Mimi siko twitter na nimekuwa mtu wa mwanzo kuweka taarifa hapa mara tu alipo maliza Lema kumaliza kuhesabu sasa nitakushanga kama unapishana na ukweli.
 
Wazee mbona muda wote anahesabu huyu Mayai tu Lema atahesabu saa ngapi
 
Lissu akishinda uchaguzi huu imani inarudi hata wabunge wa Ccm watapoteza sana majimbo ndo maana majizi ya ccm yanamuombea mbowe ushindi maana ni mshindani dhaifu
 
"Kicks of a dying horse"

Sisiem mmeamua kuyageukia maandiko, nayo bila haya wala hofu ya Mungu bado mnayapotosha tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…