Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Haya maswala yakutoa maneno Twitter kuleta huku, muache. Subiri matokeo. Ya live huku.
Mkuu ukiwa live jambo tv hauhitaji kutoa maneno Twitter.

Mimi siko twitter na nimekuwa mtu wa mwanzo kuweka taarifa hapa mara tu alipo maliza Lema kumaliza kuhesabu sasa nitakushanga kama unapishana na ukweli.
 
Wazee mbona muda wote anahesabu huyu Mayai tu Lema atahesabu saa ngapi
 
Upepo hausomeki maana Lema anahesabu kura kama hela vile na kuzifunga mafungu mafungu kama vibunda vya hela.🤣🤣

Ila mkao wa Boniyai kwenye kiti ni kama wakukata tamaa hivi unafanya mashabiki wahisi kama vile team Machame inaona kuna dalili mbaya.
Lissu akishinda uchaguzi huu imani inarudi hata wabunge wa Ccm watapoteza sana majimbo ndo maana majizi ya ccm yanamuombea mbowe ushindi maana ni mshindani dhaifu
 
Chadema ni kiikundi kisicho makini

Tundu hafai hata kuwa kiongozi wa Kaya.... yaani kama mume wa Abigail vile

1 Samweli 25:2-44
Na jina la mtu huyo aliitwa "Nabali; na jina la mkewe aliitwa Abigaili, na huyo mwanamke alikuwa mwenye akili njema, mzuri wa uso; bali yule mwanamume alikuwa hana adabu, tena mwovu katika matendo yake; naye alikuwa wa mbari ya Kalebu.

Ndipo hapo Abigaili alipomwona Daudi, alifanya haraka kushuka juu ya punda wake, akamwangukia Daudi kifulifuli, akainama mpaka nchi.

Nakusihi, bwana wangu, wewe usimwangalie huyu mtu asiyefaa, yaani, Nabali; kwa maana kama lilivyo jina lake ndivyo alivyo yeye; jina lake ndilo Nabali, na upumbavu anao; lakini mimi, mjakazi wako, sikuwaona hao vijana wa bwana wangu aliowatuma."



Mbowe amekomaa kiuongozi kwa level ya chadema lakini sio kwa kuongoza dola
"Kicks of a dying horse"

Sisiem mmeamua kuyageukia maandiko, nayo bila haya wala hofu ya Mungu bado mnayapotosha tu!
 
Back
Top Bottom