Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Leo naona watu wataenda kujifunza jambo live bila chenga.
 
Mntika ms#^#&£^£&£^#^#^..

Uchaguzi unarudiwa wa watu wa Zanzibar
 
Nakuhakikishia kabisa wewe na jfs wote. Hili limekwisha na kura za lissu ni 510. Hazifiki 520. Maaba kuna chache zilibakia pale. Zingekuwa 10 zingefungwa kwenye fungu la kumi.
Mlikua mnalalamikia ccm kwenye uchaguzi wenu, system imeingilia kusaidia lisu ashinde

Siku nyingine mkishindwa au kushinda msihusishe wasiohusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…