Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Tunamla Kichwa.
kunywa sumu tuje kula wali maharage kwenuUnamchukia sana Lissu.
Kaipoteza heshima huyo zee, alitakiwa kuachika kiti hichoo.. sio Hadi kwenye sanduku la kulaHeshima yake imerudi, hongera sana Mbowe.
Historia yako imeandikwa, wewe ni baba wa demokrasia.
Team mizimu 😅😅
Mzee Mbowe ndio Chanzo kikuu na malalamiko yana ukweli kwa kiasi kikubwa tuSasa wachaga wapumzike kulalamikiwa
yale malalamiko ya chama cha wachaga sasa yaishe
Lisu huyo hapo,kazi kwenu
Kama ameshinda huko huko, roho yangu kwatu na hata asiiposhika dola ila atakuwa amejenga kitu juu ya vyama mbadalaSema tundu ni kiboka ya kundi la kushindwa🤣🤣🤣
Dola hamshiki hata atembee uchi
Anachelewa sana, Uchaguzi umeshaharibika, watu wanatangazaje matokeo kinyume na utaratibu, kuna ukiikwaji mkubwa wa sheria🐼Goli la mkono si yupo 😀
Ahamini ndiyo nini?Ahamini anachokiona ,anarudia kuhesabu mara mbili mbili
Wameshatangaza? Huku umeme wamekata mpenz.Kwakweli tumepambana ndugu yangu, hongera sana kwa ushindi.
hata mbowe amempongeza lissu kwa ushindi huko x so worryout jamaa anguTayari Lema kashauza matokeo huko X