Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Demokrasia
Screenshot_20250122-081824.png
 
X matokeo tayari. Lisu 52% ameshinda. lakini kwangu bado hafai hata kidogo. Chama kitakufa huko mbele maana Mbowe alikuwa na subira ya hekima.
Mbona kinyonge namna hiyo mkuu? Matokeo bado hayajatangazwa rasmi, vuta subira maana boss wako na sisiem wakiamua kufanya mauzauza huwa hawashindwi

Tulikwambia na bado tunakwambia, huu sio muda wa hizo subira za hekima. Yaani upambane na sisiem kwa kutumia hekima!?
 
Back
Top Bottom