Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Lissu ameshinda
20250122_081418.jpg
 
X matokeo tayari. Lisu 52% ameshinda. lakini kwangu bado hafai hata kidogo. Chama kitakufa huko mbele maana Mbowe alikuwa na subira ya hekima.
Tunaposema huu ni wakati wa Lissu tunamaanisha. Usiwe na wasiwasi. Chama kitang'aa.
 
Hapa timu Mbowe ndio tunahitaji mzalendo kama marehemu Mzee Jecha
Ndio maana nasema Mbowe kapoteza ushawishi hadi kupewa back up na CCM hata kutumia mbinu zao chafu hiyo sio utamaduni wa Chadema , ikitokea akashinda basi ujue Chadema ule ushawishi iliyokuwa nao utapungua kwa kiasi kikubwa ukibisha nenda kaangalie wale foot soldiers wake watatu walioaminiwa X miaka mingi wanavyoigwa spana kwa sasa wengine hadi wamepunguza kutweet ni post 1 au 2 kwa siku then wanapotea.
 
Back
Top Bottom