Natoa rai mapema baada ya ushindi huu wa lissu.
Yale tuliyo yaona ya Biden kuondolewa kwenye kinyanganyiro ndani ya chama chake yawezekana yakatokea na Tz mwaka huu.
Kuna jambo kiroho liko nyuma ya ushindi wa Lissu.
Ile roho iliyoko ndani yake ikipandikizwa kwa usahihi kwa wanachama wake kama ilivo kuwa kwa Yeshua. Tutegemee kuona mabadiliko ya siasa za kistaarabu kwenda siasa za kushawishi kwa nguvu.
Huyu Mwanaume ana near death experience watu wa hivi kiroho wana jambo la kustaajabisha mno.
My Take Chama Tawala wasifanye mambo kwa mazoea. Hili litagharimu taifa sana sana.
Kama asemavyo Kaka Paskali the Voice from within has alot to say to us.