Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akalie bamia sasa kule kwao mbutu kigamboni
Picha ya siku🤣🤣🤣🤣
Wameshatangaza? Huku umeme wamekata mpenz.
Watoto wa elfu 2 mnawaonea!Ni kizazi cha kuanzia 2000 hicho. Hakina subira wala ujasiri wa kusemeshana kwa heshima. Na hawa eti ndiyo anakuja ofisini ili kuomba kazi. Kuna swali huwa nawapa akilijibu ndivyo sivyo namtimua. Kizazi cha hovyo kabisa 🚮
Kitu cha hatari sana kwa Chama tawala endapo watafanya mambo kimazoea. The man has nothing to looseSasa hivi CDM itakuwa ya maneno na vitendo na isiyotishika
kuna kenge nilikuwa namjibu, alisema mbowe ana kura nyingi na lissu chacheKwani zimepigiwa vichochoroni?kura zimepigwa na kuhesabiwa watu wote wanaona live
Hakuna wa kumlaumu hapo
Hahahah ngoja tuone.Hongera nyingi kwa Mh. Tundu Lissu. Ni wakati wake sasa wa kuipigania Tanganyika yetu kwa vitendo.