Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Hakika Lissu sasa making ya shingo, wana chadema wanaimba kwa sauti kuu wakisema chama chao hakitaenda ubelgiji.

Hizi dalili mbaya sana kwa Lissu ambaye ametumia mabilioni katika uchaguzi huu
Kwa mabichwa ya namna hiii CCM, nawashauri waendelee kuchagua Wazee tu.
 
Hakika Lissu sasa making ya shingo, wana chadema wanaimba kwa sauti kuu wakisema chama chao hakitaenda ubelgiji.

Hizi dalili mbaya sana kwa Lissu ambaye ametumia mabilioni katika uchaguzi huu
Weka ka video tuone
 
NDUGU MJUMBE HIYO RUSHWA ULIYOPEWA NA MBOWE INAENDA KUKIUA CHAMA WANACHAMA WENGI MAELFU YA WANACHAMA WAMEPANGA KUJIUZULU IWAPO MTAMCHAGUA MTU KWA RUSHWA.

WANANCHI NCHI NZIMA NDANI NA NJE YA MIPAKA WANAANGALIA.
WANANCHI NCHI NZIMA NDANI NA NJE YA MIPAKA WANAANGALIA.💪🏿👌🏿
 
Back
Top Bottom