Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko October mnaenda kubaka tu uchaguzi kama kawaida yenu.
Hamna jipya kwenye hilo
.. hawezi kugombea nafasi ambayo hatash.... Sio kweli, aligombea uraisi na akashindwa!Sote ni mashuhuda kwamba Freeman Aikaeli Mbowe anaungwa mkono na wajumbe wa mkutano mkuu wengi zaidi ya mgombea uenyekiti mwingine yeyote wa chadema, na kwahivyo anakwenda kushinda uchaguzi huu kwa kishindo.
Tayari visingizio kutoka kwa wapambe wa wagombea wanaowafungia wajumbe wao kwenye nyumba za kulala wageni, huku wakikosa kujua ratiba na kinachoendelea kwenye ukumbi wa uchaguzi, wameanza kupiga mayowe ya kushindwa, kanakwamba kuna rafu za uchaguzi hali ya kua wanajitakia wenyewe. Ni vichekesho na makusudi ya kujitakia tu, eti mpaka sasa kuna wajumbe hawajasajiliwa na hawana vitambulisho, wamefungiwa ndani tu.
Prof. Kitila Mkumbo amebainisha wazi kwa umma kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwmba, Freeman Aikaeli Mbowe hawezi kugombea nafasi ya uongozi ambayo hatashinda.
Ni muhimu sana wadau wa JF na wanachadema kwa ujumla, kuzingatia kauli hii ya kitaalamu kutoka kwa mwanafalsafa huyu wa siasa za Tanzania.
Kila la kheri wajumbe,
Kila la kheri Mbowe na Asanti Lisu kwa kushiriki uchaguzi wa chadema ngazi ya taifa.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Yaja siku wana wa Israel tutatoka utumwani kwa Pharaoh Misri.Kama Nyerere alichukua dola kwa kubaka na Na nyie bakeni
Vinginevyo siasa imewashinda
Nakuhakikishia kabisa wewe na jfs wote. Hili limekwisha na kura za lissu ni 510. Hazifiki 520. Maaba kuna chache zilibakia pale. Zingekuwa 10 zingefungwa kwenye fungu la kumi.Haya maswala yakutoa maneno Twitter kuleta huku, muache. Subiri matokeo. Ya live huku.
CCM mnamuunga mkono mbowe lwa vile kalamba asaliSote ni mashuhuda kwamba Freeman Aikaeli Mbowe anaungwa mkono na wajumbe wa mkutano mkuu wengi zaidi ya mgombea uenyekiti mwingine yeyote wa chadema, na kwahivyo anakwenda kushinda uchaguzi huu kwa kishindo.
Tayari visingizio kutoka kwa wapambe wa wagombea wanaowafungia wajumbe wao kwenye nyumba za kulala wageni, huku wakikosa kujua ratiba na kinachoendelea kwenye ukumbi wa uchaguzi, wameanza kupiga mayowe ya kushindwa, kanakwamba kuna rafu za uchaguzi hali ya kua wanajitakia wenyewe. Ni vichekesho na makusudi ya kujitakia tu, eti mpaka sasa kuna wajumbe hawajasajiliwa na hawana vitambulisho, wamefungiwa ndani tu.
Prof. Kitila Mkumbo amebainisha wazi kwa umma kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwmba, Freeman Aikaeli Mbowe hawezi kugombea nafasi ya uongozi ambayo hatashinda.
Ni muhimu sana wadau wa JF na wanachadema kwa ujumla, kuzingatia kauli hii ya kitaalamu kutoka kwa mwanafalsafa huyu wa siasa za Tanzania.
Kila la kheri wajumbe,
Kila la kheri Mbowe na Asanti Lisu kwa kushiriki uchaguzi wa chadema ngazi ya taifa.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Lissu ni kiboko ya Mchwa ccm
Nani kashinda mkuuNakuhakikishia kabisa wewe na jfs wote. Hili limekwisha na kura za lissu ni 510. Hazifiki 520. Maaba kuna chache zilibakia pale. Zingekuwa 10 zingefungwa kwenye fungu la kumi.
Pale zimebaki hazifiki 5Nakuhakikishia kabisa wewe na jfs wote. Hili limekwisha na kura za lissu ni 510. Hazifiki 520. Maaba kuna chache zilibakia pale. Zingekuwa 10 zingefungwa kwenye fungu la kumi.
"Kicks of a dying horse"
Sisiem mmeamua kuyageukia maandiko, nayo bila haya wala hofu ya Mungu bado mnayapotosha tu!
Kwa hesabu za mtandaoniKwasisi tuliohesabia mitandaoni kwa msaada wa camera tumeona kama machame tumedondokea pua.
Ngoja walioko ukumbini watuambie.
Kutiana presha tuuu usingizi wa mang'amu ng'amu kila mara unacheki simu kuangalia matokeo.Jf ya leo updates, za live mara lissu mara mbowe,
Acha tupaki pembni toangalie mtanange kimara foleni sana
Mkuu mambo ya siasa hauwezi kuyaelewa hivyo ukiona jambo hahlielewi fahamu tu hilo jambo halipo Kwa ajaili yako.Vifungu vya dini muhimu kwa kuwa Mungu ndio chanzo