Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Wameshatangaza? Huku umeme wamekata mpenz.
Screenshot 2025-01-22 082647.png

Huyo Hilda yupo ukumbini na anasakata rhumba kwa vibe sana!. Matokeo pengine yapo hivyo!
 
Ni kizazi cha kuanzia 2000 hicho. Hakina subira wala ujasiri wa kusemeshana kwa heshima. Na hawa eti ndiyo anakuja ofisini ili kuomba kazi. Kuna swali huwa nawapa akilijibu ndivyo sivyo namtimua. Kizazi cha hovyo kabisa 🚮
Sure ni vijana wadogo wasio na ukomavu na ustahimilivu wa upinzani wa hoja.
 
Back
Top Bottom