Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

picha zinazozunguka kwenye mitandao zikionyesha watoto wakipiga kura ni za kweli?
 
Hv Wakenya Wanataka Nini Jaman Tume Ipo Huru , Mahakama Ipo Huru , Ma Rc Na Ma Dc Wanachaguliwa Kwa Kura , Cjui Wanahitaji Nini Zaidi
Ndiyo ujue hilo neno huru halina maana yoyote kama brains hazijawa huru bado zimejaa ukabila na ubaguzi, iyo huru haiwezi kuwa huru hadi kabila langu lishinde uchaguzi
 
Yote hayo yanasababishwa na Raila kwa kupenda kusikiliza sauti za watu walioshindwa kuongoza nchi zao.
 




Mashaka yameanza, hadi ambako uchaguzi umesitishwa matokeo yameanza kupatikana!
 
Mtihani unatunga mwenyewe, alafu unajisahishia mwenyewe, alafu unashangilia umefaulu, ila nitawashangaa CHADEMA kama wakiendelea kumpinga na kumkashifu Rais wa Zanzibar shain, huku wao wakiwa mstari wa mbele kumsapoti Uhuru kenyata, kwa kifupi uchaguzi haukuwa huru na haki, kwani demokrasia imebakwa. Mungu ibariki afrika, mungu ibariki Kenya.
 
Massive boycott. Big mistake Jubilee kulazimisha uchaguzi. Kenyans have spoken emphatically.
Duh hii ndo ile ya zanzibar vituo vipo vitupu halafu mtu atajisemea kashinda
Yeah, they have spoken emphatically through their democratic right to vote. 6million votes cast by 01:30pm. Swallow that!
Voters turnout kwenye uchaguzi uliofanyika tarehe 08.08.2017 ilikuwa 79.5% na jumla ya waliopiga kura walikuwa 15,593,050 ambapo Uhuru Kenyatta alitangazwa mshindi kwa kupata kura 8,200,000 hivi.

Sasa turnout ya uchaguzi wa leo ni 48%, nenda na hesabu hapo juu, maana yake waliopiga kura leo ni watu 9,413,476 yaan kura za Uhuru za uchaguzi wa tarehe 08.08 ongeza kama kur zingine Million 1 na ushee.

Hivyo kwa turnout hii basi Uhuru na Jubilee wameshinda na kuthibitisha kuwa ushindi walioupata tarehe 08 mwezi wa 8 ulikuwa sahihi.
 
Huijui Kenya wewe, unaujua uhuru wa kujieleza na wa vyombo vya habari?utalinganishaje Kenya na Tanzania kwenye hayo?

Wewe endelea na porojo za gazeti la Uhuru, Kenya huijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…