Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

Katika mambo ya hovyo, kenya wametuzidi kwenye ukabila tu, mengine tunafanana na hata kuwazidi.
Huijui Kenya hata robo, hata wakenya wenyewe wanakushangaa humu ndani, Kenya inaongoza Africa kwa extra judicial killings kutoka na report ya trasparency international 2017, Kenya insecurity inapambana na South Africa tu, na ikijitahidi mwakanni wataipita South Afrika, kwa demokrasia ya uhuru wa kujieleza na vyombo vya habari, tumewapita nafasi 11 tupo juu yao, tena tumeporomoka kipindi hiki cha Magufuli, kabla ya hapo tulikuwa tumewapita nafasi 18, huijui Kenya unaisikia tu.
 
Huyu mama ni nani? Mbona anataka kupigana na wanaume hapo Panafric hotel
9cbd37be20b19c9219723760ae2a3929.jpg
 
a469a1a3072c6309f9a63b6c76dee3b8.jpg
Jaji mkuu Bw Malaga wa Kenya akipiga kura ya kumchagua Rais wa Kenya ikumbukwe kuwa jaji huyu aliyafuta matokeo ambayo yangempa ushindi Mhe Uhuru Kenyatta Muigai.

Kutokana maamuzi hayo yaliosababisha uchaguzi wa pili kutangazwa upya ambao umefanyika Leo ambapo umoja wa vyama vya upinzani ambao unaongozwa na Bw Raila Odinga kususia uchaguzi huo.

Hichi kilikuwa kipimo cha Bw Malaga kwani asingeenda kupiga kura madai ya Jubilee yangesibitika kuwa Jaji huyo yuko upande wa Nasa na Hakutenda haki kwa Jubilee.

Mhere Mwita.
 
Back
Top Bottom