Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

Mzee tunawaombea mpite salama katika kipindi kigumu. Hakuna anayependa machafuko labda shetani. Mkishamaliza uchaguzi salama tunaomba muanze kuumaliza ukabila. Hiyo sumu inaendekezwa sana na haina mashiko katika karne hii. Walau mjitahidi kuoleana, ingawa najua mwanamke wa Gikuyu bado anaogopa Mkono wa Sweta!

Mkono wa sweta ndio nini vile?
 
Wewe nawe acha kudanganya watu kha! Maiti zinazokotwa kama ni wa Ethiopia ni aje wameshindwa kutambulika kwa utaifa wao sasa ndugu watoke Ethiopia kuja kuwatambua? Balozi ya Ethiopia ipo wamepewa hiyo taarifa?
Ben Saanane Chadema wamelizungumza hili jambo hadharani serikali ipo kimya Lissu ni vile alidhulumiwa hadharani mchana
Usiwadhihaki Wakenya wakati ukijua hata Tz Hali si shwari. Kenya Mungu awasimamie awaepushe na kikombe hiki! Tunawaombea!

Amen
 
Kwa yeyote anayejua yanayoendelea nchini Kenya kwa mda huu kupitia source mbalimbali za habari Karibu hapa JUKWANI utahabarishe Uchaguzi unavyoendelea.
e5c3a04731b48cbf5e257692850377f6.jpg
 
Hv Wakenya Wanataka Nini Jaman Tume Ipo Huru , Mahakama Ipo Huru , Ma Rc Na Ma Dc Wanachaguliwa Kwa Kura , Cjui Wanahitaji Nini Zaidi
 
Watoto wengi kote nchini wamepata fursa ya kutimiza haki zao za kiktibaa!a[emoji122]
FB_IMG_1509025295154.jpg
FB_IMG_1509025338009.jpg
FB_IMG_1509025392815.jpg
FB_IMG_1509025402533.jpg
 
Acha hizo 1academ si nilidhani umesepa? Dah hata wewe ni mwanamgambo wa NRM? Ya Joseph samahani Raila? Raundi hii hakuna cha mvi wala nini bora tu uwe una kidole chako cha gumba. 😉
 
Back
Top Bottom