Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

Acha hizo 1academ si nilidhani umesepa? Dah hata wewe ni mwanamgambo wa NRM? Ya Joseph samahani Raila? Raundi hii hakuna cha mvi wala nini bora tu uwe una kidole chako cha gumba. 😉
Haha.. omothe dire oo area t'a bacteria modo, niatia kurathie kou kwanyu?
 
Hv Wakenya Wanataka Nini Jaman Tume Ipo Huru , Mahakama Ipo Huru , Ma Rc Na Ma Dc Wanachaguliwa Kwa Kura , Cjui Wanahitaji Nini Zaidi
Usiongee usichokijua. Jana Voice of America wamejadili jinsi tume ya uchaguzi ilivyoharibu election na bado hawatimiza matakwa ya mahakama. Uhuru anaforce urais
Kisii turnout so nzuri, dogi wameamua kujinafas vituoni [emoji191] [emoji3] [emoji202] View attachment 617387View attachment 617389
 
Wewe lazima unaumwa na akili, kuhusu Mwangosi ulifuatilia kesi yake?, yule FFU aliyehusika kulipua bomu, alitiwa hatiani kuua bila kukusudia ila alifanya uzembe aliukumiwa kifungo cha miaka 15, uliza huko Kenya kama kuna polisi yeyote aliyehukumiwa kwa kuuwa watu hovyo, japo kanda za video zinaonyesha wakiua watu hadharani. Kuhusu bomu la mkutano wa Chadema kule Arusha, kama utakumbuka vizuri kipindi kile pia kulikuwa na mfululizo wa kulipua makanisa na bar zinazouza pombe, wahusika walikua ni waisilamu wenye itikadi kali, muhusika mkuu alikimbilia Morogoro kujificha, walimkamata na kuuliwa huko Morogoro, hadi leo mauaji yalikoma huko Arusha,

Kuhusu Mawazo na Kibanda na Ulimboka, hilo nimesema kuna kila sababu ya kwamba serikali inahusika, siwezi kuitetea katika hao, ila vipi kuhusu viongozi wa serikali na CCM waliouliwa Kibiti, je kuna siasa pale?, je vyama pinzani vinausika?, sio kila mauaji yanahusisha siasa au serikali
Kwenye mauwaji Tz hatuwezi kuwanyooshea kidole wakenya, labda kwenye ukabila.
 
Kwenye mauwaji Tz hatuwezi kuwanyooshea kidole wakenya, labda kwenye ukabila.
Tuna wanyooshea, tena sio kidole kimoja, vyote vitano, nipe majina matano ya wanasiasa waliouliwa na serikali Tanzania, kwa kila jina moja, mimi nitakupa majina kumi ya wanasiasa wa Kenya waliouliwa na serikali huko Kenya, na ziada nitaongeza ukitaka
 
Eti vidole vyote vitano? Sasa mbona unatubagua sisi ambao tuna vidole sita kwenye mkono mmoja?
 
Tuna wanyooshea, tena sio kidole kimoja, vyote vitano, nipe majina matano ya wanasiasa waliouliwa na serikali Tanzania, kwa kila jina moja, mimi nitakupa majina kumi ya wanasiasa wa Kenya waliouliwa na serikali huko Kenya, na ziada nitaongeza ukitaka
Katika mambo ya hovyo, kenya wametuzidi kwenye ukabila tu, mengine tunafanana na hata kuwazidi.
 
Back
Top Bottom