Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalau huyo mgonjwa anaishi, Msando alimalizwa kabisa....Huku tunamuuguza jamaa wenu mliyempiga risasi 38...
Haha.. omothe dire oo area t'a bacteria modo, niatia kurathie kou kwanyu?Acha hizo 1academ si nilidhani umesepa? Dah hata wewe ni mwanamgambo wa NRM? Ya Joseph samahani Raila? Raundi hii hakuna cha mvi wala nini bora tu uwe una kidole chako cha gumba. 😉
Angalau huyo mgonjwa anaishi, Msando alimalizwa kabisa.
hiyo lugha ndio wale waleHaha.. omothe dire oo area t'a bacteria modo, niatia kurathie kou kwanyu?
wanachokitaka ni haki hitendeke
Na wakamkata kata viungoAngalau huyo mgonjwa anaishi, Msando alimalizwa kabisa.
Hahaa gutire na oru morio guku noo kuumera kuumera ta thuraku.Haha.. omothe dire oo area t'a bacteria modo, niatia kurathie kou kwanyu?
Usiongee usichokijua. Jana Voice of America wamejadili jinsi tume ya uchaguzi ilivyoharibu election na bado hawatimiza matakwa ya mahakama. Uhuru anaforce uraisHv Wakenya Wanataka Nini Jaman Tume Ipo Huru , Mahakama Ipo Huru , Ma Rc Na Ma Dc Wanachaguliwa Kwa Kura , Cjui Wanahitaji Nini Zaidi
Kisii turnout so nzuri, dogi wameamua kujinafas vituoni [emoji191] [emoji3] [emoji202] View attachment 617387View attachment 617389
Kwenye mauwaji Tz hatuwezi kuwanyooshea kidole wakenya, labda kwenye ukabila.Wewe lazima unaumwa na akili, kuhusu Mwangosi ulifuatilia kesi yake?, yule FFU aliyehusika kulipua bomu, alitiwa hatiani kuua bila kukusudia ila alifanya uzembe aliukumiwa kifungo cha miaka 15, uliza huko Kenya kama kuna polisi yeyote aliyehukumiwa kwa kuuwa watu hovyo, japo kanda za video zinaonyesha wakiua watu hadharani. Kuhusu bomu la mkutano wa Chadema kule Arusha, kama utakumbuka vizuri kipindi kile pia kulikuwa na mfululizo wa kulipua makanisa na bar zinazouza pombe, wahusika walikua ni waisilamu wenye itikadi kali, muhusika mkuu alikimbilia Morogoro kujificha, walimkamata na kuuliwa huko Morogoro, hadi leo mauaji yalikoma huko Arusha,
Kuhusu Mawazo na Kibanda na Ulimboka, hilo nimesema kuna kila sababu ya kwamba serikali inahusika, siwezi kuitetea katika hao, ila vipi kuhusu viongozi wa serikali na CCM waliouliwa Kibiti, je kuna siasa pale?, je vyama pinzani vinausika?, sio kila mauaji yanahusisha siasa au serikali
Kuna jamaa anajua hawezi shins a kidemocrasia. Kwa hivyo lazima kuwe na fujo ili apate cheo bila kupitia uchaguziHv Wakenya Wanataka Nini Jaman Tume Ipo Huru , Mahakama Ipo Huru , Ma Rc Na Ma Dc Wanachaguliwa Kwa Kura , Cjui Wanahitaji Nini Zaidi
Hata angekufa, tungehesabu ni mtu wa pili au watatu, ukilinganisha na maelfu ya watu wanaouliwa Kenya kila mwakaAliyepiga risasi 38 alikua na nia huyu jamaa aishi?
Hivi kama mngempeleka Muhimbili lazima angefuatwa huko, imebidi tumlinde.
Tuna wanyooshea, tena sio kidole kimoja, vyote vitano, nipe majina matano ya wanasiasa waliouliwa na serikali Tanzania, kwa kila jina moja, mimi nitakupa majina kumi ya wanasiasa wa Kenya waliouliwa na serikali huko Kenya, na ziada nitaongeza ukitakaKwenye mauwaji Tz hatuwezi kuwanyooshea kidole wakenya, labda kwenye ukabila.
Rubbish!Wakenya wawe na akili zao wenyewe sasa,
Hii kichwa moja tu ya Laila Odinga ndio inasababisha watu baadhi wanauwawa
Na huyu jamaa yake Uhuru, siwamsacrifice mmoja amani iwepo.
Wasitusumbue vichwa.
Ongeza karoyco basi, salute tumepokea lakini tafadhali isije ikawa ni mitusi baada ya salute.Wa Tz tunawapa Kenya salute!
Eti vidole vyote vitano? Sasa mbona unatubagua sisi ambao tuna vidole sita kwenye mkono mmoja?Tuna wanyooshea, tena sio kidole kimoja, vyote vitano, nipe majina matano ya wanasiasa waliouliwa na serikali Tanzania, kwa kila jina moja, mimi nitakupa majina kumi ya wanasiasa wa Kenya waliouliwa na serikali huko Kenya, na ziada nitaongeza ukitaka
Katika mambo ya hovyo, kenya wametuzidi kwenye ukabila tu, mengine tunafanana na hata kuwazidi.Tuna wanyooshea, tena sio kidole kimoja, vyote vitano, nipe majina matano ya wanasiasa waliouliwa na serikali Tanzania, kwa kila jina moja, mimi nitakupa majina kumi ya wanasiasa wa Kenya waliouliwa na serikali huko Kenya, na ziada nitaongeza ukitaka