Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mkuu endelea kutupa habari
Watu hakuna vituoni hadi muda huu
Uko Canaan nini? Eti 700 votes have been cast TODAY? Huku Kenya hata saa saba na nusu bado haijafika.Marsabit had 90% vote to uhuru on august 8th less than 700 votes have been cast today in the whole county...
How did Uhuru win Elections again??
Mzee tunawaombea mpite salama katika kipindi kigumu. Hakuna anayependa machafuko labda shetani. Mkishamaliza uchaguzi salama tunaomba muanze kuumaliza ukabila. Hiyo sumu inaendekezwa sana na haina mashiko katika karne hii. Walau mjitahidi kuoleana, ingawa najua mwanamke wa Gikuyu bado anaogopa Mkono wa Sweta!
Nimetafuta uzi wenye habari za kenya hatimaye nimepata. Informer umedukuliwa?
Uko Canaan nini? Eti 700 votes have been cast TODAY? Huku Kenya hata saa saba na nusu bado haijafika.
Mkuu endelea kutupa habari
Siamini kuwa wewe Miss Natafuta ni 'dumb blonde'. Unaamini kikosi kizima cha Kenya Police kimeshindwa kuvunja mlango mmoja tangia asubuhi? Nangoja jibu lako.
Na wewe umejuaje ni wa ethiopiaAcha maneno yasiyokuwa na msingi, maiti zinazopatikana zinakuwa katika hali mbaya ya kutotambulika kwa sura, ndiyo sababu serikali inasema kama kuna watu wamepotelewa na ndugu zao waende wakatoe mate ili wapime vinasaba, ndiyo njia pekee ya kuweza kulinganisha na kuzitambua, nimekuambia dalili zinaonyesha kwamba si watanzania ni waethiopia kwa kuzingatia mambo mawili
1)Hadi sasa hakuna mtu yeyote aliyejitokeza kupotelewa na ndugu au jamaa yake
2)Zile maiti za waethiopia zilizokuwa zikiokotwa kwa wingi porini, siku hizi hazipo tena huko porini, je zipo wapi na wakati biashara ya kuwavusha inaendelea?
Hii miili ilipokuwa ikiokotwa porini ilikuwa ikitambulika kwa sura zao, ila si rahisi hii ya baharini kwa sababu inakuwa imeharibika sana, hivyo sio rahisi kusema moja kwa moja ni wahabeshi wala watanzania.
Kuhusu Ben Sanane , Lisu na Roma, huko ni ukweli kuna kila sababu na ushahidi wa kimazingira kwamba serikali imehusika, kama ambavyo kuna kila sababu na ushahidi wa kimazingira vinavyoonyesha kwamba hii miili inayookotwa sio watanzania
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu nakuona unang'ata na kupuliza, pole sana lumumba boyWewe lazima unaumwa na akili, kuhusu Mwangosi ulifuatilia kesi yake?, yule FFU aliyehusika kulipua bomu, alitiwa hatiani kuua bila kukusudia ila alifanya uzembe aliukumiwa kifungo cha miaka 15, uliza huko Kenya kama kuna polisi yeyote aliyehukumiwa kwa kuuwa watu hovyo, japo kanda za video zinaonyesha wakiua watu hadharani. Kuhusu bomu la mkutano wa Chadema kule Arusha, kama utakumbuka vizuri kipindi kile pia kulikuwa na mfululizo wa kulipua makanisa na bar zinazouza pombe, wahusika walikua ni waisilamu wenye itikadi kali, muhusika mkuu alikimbilia Morogoro kujificha, walimkamata na kuuliwa huko Morogoro, hadi leo mauaji yalikoma huko Arusha,
Kuhusu Mawazo na Kibanda na Ulimboka, hilo nimesema kuna kila sababu ya kwamba serikali inahusika, siwezi kuitetea katika hao, ila vipi kuhusu viongozi wa serikali na CCM waliouliwa Kibiti, je kuna siasa pale?, je vyama pinzani vinausika?, sio kila mauaji yanahusisha siasa au serikali
Hivi kuna tofauti ya masaa mangapi kati ya Canaan na Kenya?labda hilo ndio linalowasumbua wale wenye wana safari ya Canaan.Uko Canaan nini? Eti 700 votes have been cast TODAY? Huku Kenya hata saa saba na nusu bado haijafika.
Acha uvivu wa kusoma, au uelewa wako ni mdogo kiasi cha kushinga kuelewa kwa nini ninahusisha na wakimbizi wa ethiopia, soma tena utaelewa kwanini ninahusisha na wahabeshiNa wewe umejuaje ni wa ethiopia
Wakikujibu nitag.Hivi kuna tofauti ya masaa mangapi kati ya Canaan na Kenya?labda hilo ndio linalowasumbua wale wenye wana safari ya Canaan.