Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

2e570507a79e5ead117640b19dda06af.jpg


Watu hakuna vituoni hadi muda huu
Mkuu endelea kutupa habari
 
Mzee tunawaombea mpite salama katika kipindi kigumu. Hakuna anayependa machafuko labda shetani. Mkishamaliza uchaguzi salama tunaomba muanze kuumaliza ukabila. Hiyo sumu inaendekezwa sana na haina mashiko katika karne hii. Walau mjitahidi kuoleana, ingawa najua mwanamke wa Gikuyu bado anaogopa Mkono wa Sweta!

It is my belief that Uhuru and Raila will pass but Kenya as a country will remain. I wish kenyans a peaceful presidential election.
 
Acha maneno yasiyokuwa na msingi, maiti zinazopatikana zinakuwa katika hali mbaya ya kutotambulika kwa sura, ndiyo sababu serikali inasema kama kuna watu wamepotelewa na ndugu zao waende wakatoe mate ili wapime vinasaba, ndiyo njia pekee ya kuweza kulinganisha na kuzitambua, nimekuambia dalili zinaonyesha kwamba si watanzania ni waethiopia kwa kuzingatia mambo mawili
1)Hadi sasa hakuna mtu yeyote aliyejitokeza kupotelewa na ndugu au jamaa yake
2)Zile maiti za waethiopia zilizokuwa zikiokotwa kwa wingi porini, siku hizi hazipo tena huko porini, je zipo wapi na wakati biashara ya kuwavusha inaendelea?

Hii miili ilipokuwa ikiokotwa porini ilikuwa ikitambulika kwa sura zao, ila si rahisi hii ya baharini kwa sababu inakuwa imeharibika sana, hivyo sio rahisi kusema moja kwa moja ni wahabeshi wala watanzania.

Kuhusu Ben Sanane , Lisu na Roma, huko ni ukweli kuna kila sababu na ushahidi wa kimazingira kwamba serikali imehusika, kama ambavyo kuna kila sababu na ushahidi wa kimazingira vinavyoonyesha kwamba hii miili inayookotwa sio watanzania
Na wewe umejuaje ni wa ethiopia
 
Mbona sasa kenya inakoelekea ni kubaya kuliko tarehe 6??
Irregularities ni nyingi sana mara hii ya marudio. I can't guess what will follow.
 
Wewe lazima unaumwa na akili, kuhusu Mwangosi ulifuatilia kesi yake?, yule FFU aliyehusika kulipua bomu, alitiwa hatiani kuua bila kukusudia ila alifanya uzembe aliukumiwa kifungo cha miaka 15, uliza huko Kenya kama kuna polisi yeyote aliyehukumiwa kwa kuuwa watu hovyo, japo kanda za video zinaonyesha wakiua watu hadharani. Kuhusu bomu la mkutano wa Chadema kule Arusha, kama utakumbuka vizuri kipindi kile pia kulikuwa na mfululizo wa kulipua makanisa na bar zinazouza pombe, wahusika walikua ni waisilamu wenye itikadi kali, muhusika mkuu alikimbilia Morogoro kujificha, walimkamata na kuuliwa huko Morogoro, hadi leo mauaji yalikoma huko Arusha,

Kuhusu Mawazo na Kibanda na Ulimboka, hilo nimesema kuna kila sababu ya kwamba serikali inahusika, siwezi kuitetea katika hao, ila vipi kuhusu viongozi wa serikali na CCM waliouliwa Kibiti, je kuna siasa pale?, je vyama pinzani vinausika?, sio kila mauaji yanahusisha siasa au serikali
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu nakuona unang'ata na kupuliza, pole sana lumumba boy
 
Back
Top Bottom