Masika hayajaanza?Kukavu mkuu
Bado chama kinajipangaMasika hayajaanza?
Hivi hii ibada ya sanamu bado inaendelea?Mwenge wa uhuru umewashwa leo mjini Zanzibar na makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Ameir.
Kiongozi wa mbio za mwenge ni luteni Josephine Mwambushi na ataukabidhi ukiwa unawaka siku ya tarehe 14/10/2021 kwa Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan huko Chato, Geita.
Source: ZBC
Mshana Jr njoo unyooshe maelezo hukuKatika hili la mwenge Mshana jr huwa upande wa CCM, anafaidika!
Kinajipangia kitu gani Na wanashikilia hatamu zoteBado chama kinajipanga
KM bado ni mgeniKinajipangia kitu gani Na wanashikilia hatamu zote
Huwa hauzimwi kwa siku zote 150?Mwenge wa uhuru umewashwa leo mjini Zanzibar na makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Ameir.
Kiongozi wa mbio za mwenge ni luteni Josephine Mwambushi na ataukabidhi ukiwa unawaka siku ya tarehe 14/10/2021 kwa Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan huko Chato, Geita.
Miaka zaidi ya 50 bado ni mgeni?KM bado ni mgeni
TeteteteMiaka zaidi ya 50 bado ni mgeni?