Yanayojiri: Uzinduzi wa mbio za Mwenge wa uhuru 2021, Umewashwa na makamu wa pili wa Rais Zanzibar utakimbizwa siku 150!

Mwenge wa uhuru umewashwa leo mjini Zanzibar na makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Ameir.

Kiongozi wa mbio za mwenge ni luteni Josephine Mwambushi na ataukabidhi ukiwa unawaka siku ya tarehe 14/10/2021 kwa Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan huko Chato, Geita.

Source: ZBC
Hivi hii ibada ya sanamu bado inaendelea?
 
Mwenge wa uhuru umewashwa leo mjini Zanzibar na makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Ameir.

Kiongozi wa mbio za mwenge ni luteni Josephine Mwambushi na ataukabidhi ukiwa unawaka siku ya tarehe 14/10/2021 kwa Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan huko Chato, Geita.
Huwa hauzimwi kwa siku zote 150?
Wanajazaje mafuta?
 
Matumizi mabaya ya fedha kwenye mwenge..
Uwekwe makumbusho
Au ndio njia ya ccm kupiga hela?
 
One of the useless politics Tanzania mustn't desist withdrawing.
 
Back
Top Bottom