LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hamas wamesema kama Israel itaendelea kuua raia wao basi wataanza kuwachinja mateka wa Israel live. Huu ndo ugaidi wenyewe sasa
 
Nchi ya Israel ilikiwa wapi kabla ya 1947?
Hakuna nchi pasipo watu. Watu ndiyo huanzisha nchi. Kukujibu swali lako ni kwamba, hao walioanzisha hiyo walikuwepo wakiishi hapohapo.
watu katika ardhi ya Tanzania walikuwepo kabla ya Uhuru, walikuwepo kabla ya juna Tanganyika, walikuwepo kabla ya jina Tanzania, walikuwepo kabla ya mkutano wa Berlin. Kwa uhuru au jina la nchi kuja baadaye haiwaondolei haki ya kuwa walikuwepo, na kwamba ni kwao.
 
Hawa Jamaa ni Wanyama..
Huyu mwanamke nafikiri walimuingilia aisee..
Your browser is not able to display this video.
 
Waarabu na waislam wanafiki tuu
Mbona wapo kimya kuhusu

Uyghur genocide​

Hao Uyghur ingekuwa watesi wao ni wazungu au waisraeli jihadists wangekuwa kwenye Olypmpic ya kulaani unyama wanaofanyiwa lkn kwa kuwa ni wachina ndio watesi jihadists hawana neno.
 
IDF instructs Israelis to prepare for 3-day stay in bomb shelters/secure rooms, ensure supply of food, water, battery-run devices in case power is down. This is a clear indication of imminent escalation into larger war.
 
Kuna kitu kinaitwa Rules of Engagement ni pamoja na kutoua mateka.

Lakini tatizo ni kwamba hivi vikundi vya Kigaidi havifuati sheria zozote sote tunakumbuka ISIS ilipowakamata Mashia wa Iraq na kuwachinja pembeni ya Mto.

Modus Operandi ya Gaidi ni kuingiza Hofu kwa yeyote yule.
 
Utakatifu wa Taifa la Israel ulikoma pale walipo msulubisha Kristo. Sasa hivi Israel ni taifa kama mataifa mengine tu
 
Wewe myahudi wa iyunga hao waisraeli wenyewe wanampinga christo hapa sasa hivi wanashambulia makanisa yaliyopo gaza
 
Palestina inavyo chakazwa. Soon wataanza kupost picha za watoto waliokufa ili dunia iwaonee huruma. Vita haina macho
Your browser is not able to display this video.
 
Hii vita ni kwa sababu inahusisha imani... Muislamu anakuwa upande wa Palestina na Mkristo upande wa Israel

Huku wahindu, budhaa na watu kutoka India, China, Korea, Japan wakishangaa hawa jamaa wanagombania nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kukusahihisha tu Wakristo wengi ambao sio protestant ama vibaraka wao wapo upande wa Palestina.

South America ina Wakristo kibao ila karibia yote ipo upande wa Palestina, hao Lebanon kibao ni Wakristo wapo Palestina, Wa Palestina wengi wa Usa ni wakristo ila nao wapo Upande wa Palestine.

Israel ina Mashabiki wengi Africa na India,
 
Al Qasam imetoa onyo la mwisho kwa Israel kwamba itachinja mateka mmoja baada ya mwingine kwa kila shambulio litakalofanywa na Israel Bila tahadhari

Uchinjaji huo utarekodiwa na kurushwa kwa Dunia Nzima, wamesema

Source Al jazeera news
Wakimaliza kuchinja warushiane mabomu ya nyuklia wao waisrael wafute wote katika USO wadunia

Tupumzike makelele ya Waisrael na Waparestina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…