LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
S
Source ya haya maelezo ipo? Kama ipo naiomba mkuu
 
Kanisa gani limeshambuliwa?

Mbona hujaleta zile hashtag za Pray4Palestine.
 
Kichapo gani cha kigaidi kushambulia raia kaangalie Gaza inavyoteremshiwa mvua ya makombora

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Gaza ni mwendo wa mvua ya makombora leo wafia dini mpaka mtafute huruma ya dunia

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
"Iran denies involvement in Hamas attack" inakuaje tena jamaa hataki kujiingiza na kutoa support
 
Gaidi acha propaganda

View: https://twitter.com/sentdefender/status/1711447965745762539?t=TicgimJsD6YC7NcyeYHsgQ&s=19
 
Naona majirani kimyaaa...hawa jamaa wakikupiga wanachukua na kipande cha ardhi...
 
😥
 
Kwani yalianza leo hayo hata yawe mapya kwa wapelesyina? Wanayo hayo tokea mwaka 1948.
 
"Iran denies involvement in Hamas attack" inakuaje tena jamaa hataki kujiingiza na kutoa support
Iran yaweza kuwa ahusika au hausiki hiyo ni vigumu kuthibitisha.

Lakini hapohapo mpango wa Hamas ambao kiongozi wake yupo Qatar ni mpango ulosukwa kitaalam sana na hicho ndicho kinowasumbua Israeli.

Ila upande mwingine wa shilingi ni kwamba Israeli amepata tamaa zaidi ya kuongeza ardhi. Kabaila yoyote anapotaka ardhi hutumi ambinu nyingi ambazo zingine huku kwetu Tanzania huongea na maafisa wa ardhi.

Lakini ni matajiri na mabwanyenye wa Israeli ambao wanatamani ardhi zaidi ndo huenda wapo nyuma ya mpango huu wa kupunguza idadi ya watu.

Hoja yangu imejikita kwenye kauli walozitoa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, raisi wa Misri na raisi wa Uturuki kwamba Israeli aangalie mashambulizi yake ya ndege kama yafanana na mashambulizi ya Hamas.

Tukumbuke, vyombo vyote vya habari ambavyo vipo mikononi mwa wenye uswahiba na mabwanyenye hao havitaandika wala kutangaza idadi kamili ya wapalestina wataouawa huko Gaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…