LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Waendelee tu tuone mwisho lkn jua hapo ni gaza
 

Huelewi na hutokuja kuelewa as long as umechagua ulichochagua.

Uislam ni dini ambayo Iko clear katika kila facts za maisha,hizo verse unazoquote unajua mwenyewe ulikozitoa,kama umeamua kujitoa ufaham ni juu yake,hizo siyo verses za qur an,na hakuna wa kukuamulia kipi uamini,ni jukumu lako kuutafuta ukweli na kufuata,ukiamua kufuata ukafiri na kufa katika ukafiri choice is yours
 
Hivi hawa hamas walivyoenda kulianzisha, hawakujua kifuatacho kweli? Ona sasa wanavyotesa raia wao wasio na hatia. Au waliamua kujuzima data tu. Sasa hivi wanaanza kutuma picha za watoto walio uliwa, wakati wao ndio wamewasababishia
 
Ona unavyoongea ujinga......
 
Nowdays JAMII FORUM Watoto ni wengi sana,usikute tunachart na watoto wa kuwazaa hapa hata wasiojua hili wala lile,sababu upeo wako wa mambo ni kama hujaenda hata shule na huelewi unachokiandika
Samahani sana mzazi.
 

Sisi tunaangalia mifano, matukio yenu, mnavyoua kiza muarabu aliwaagiza, hayo mengine unayoandika andika ni nadharia...

Muslims conflicts
Fight with hindus
Fight with Jews
Fight with Christians
Fight among themselves - shias and baha
Figjt with buddhists
Fights with atheists ( all over the world)

Fight fight everywhere

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Hivi hawa hamas walivyoenda kulianzisha, hawakujua kifuatacho kweli? Ona sasa wanavyotesa raia wao wasio na hatia. Au waliamua kujuzima data tu. Sasa hivi wanaanza kutuma picha za watoto walio uliwa, wakati wao ndio wamewasababishia

Whats the difference??Waisrael kwani wameanza leo hayo mashambulizi dhidi ya wapelestina??

Watu wamefikia sasa point of no return wewe unakuja na hoja ya kuwashangaa?

Russia akishambulia UKRAINE na kuchukua maeneo USA na washirika wake wanapiga kelele,Israel akishambulia gaza kuuwa watu na kuchukua maeneo USA na washirika wake wanakaa kimya,HAMAS akifanya kujibu mapigo wanaitwa MAGAIDI,HUO UPUUUZI NANI ATAVUMILIA SASA
 
Urusi ndie kawatumia hamas kuipiga Israel ili aweze kuitandika vizuri Ukraine kwa maana nguvu zote zinaelekezwa Israel kulko Ukraine
 

RUSSIA NA UKRAINE WANAULIWA WATOTO,WANAWAKE,WAZEE NA WATU WENGI WASIO NA HATIA,MAREKANI,ULAYA NA WASHIRIKA WAKE WANATOA SILAHA NYINGI KUCHOCHEA VITA HIYO,NI WAISLAM NA UISLAM UPO HUKO??WANAOMWAGA DAMU HUKO NI WAKRISTO WATUPU,UKRISTO NA BIBLE IMEWATUMA WAFANYE HIVYO??

WALIOPIGANA VITA YA KWANZA NA YA PILI YA DUNIA HUKO ULAYA NA KUMWAGA DAMU ZA WATU NI WAISLAM??

WALIOKUJA KUMSHAMBULIA NA KUIHARIBU LIBYA NI WAISLAM??

WALIOISHAMBULIA NA KUIHARIBU IRAQ NA MASHARIKI YA KATI NA KUUWA MAMILLION YA WASIO NA HATIA KWA HOJA YA KWAMBA KUNA WEAPONS OF MASS DESTRUCTIONS AMBAZO HADI LEO HII HAWAJAZIONA NI WAISLAM??

MGOGORO WA PALESTINE NA ISRAEL NAN KAKUONGOPEA KUWA NI WA KIIMANI??
 
Biblia inanipa hostoria nzuri sana dhidi ya wayaudi na wapalestina ,hawa Jamaa no ndugu WA Baba mmoja ila mama tofauti,myaud ndo alipewa hiyo ardhi wanayogombania ,sema saivi kinacho wagawa zaidi ni Imani walizo nazo
Hakika Waafrika wamefanywa kuwa vipofu na watumwa wa fikra. Hakuna kitakachoweza kumuuokoa Muafrika dhidi ya utumwa alionao.
 

Wale wako kwenye vita nchi baina ya nchi, ila nyie mnakuta watu kwenye mambo yao ambao sio combatant, mnawachinja kisa hawamuabudu huyo muarabu, sasa hao mateka mumechukua hapo Israel mnaenda kuwachinja wamewakosea nini...dini ya chuki na mauaji tu

Muslims conflicts
Fight with hindus
Fight with Jews
Fight with Christians
Fight among themselves - shias and baha
Figjt with buddhists
Fights with atheists ( all over the world)

Fight fight everywhere

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 

Upeo wako ni finyu sana wa mambo, endelea kuamini Hiko unachokuamini..

Sasa hata suala la mateka hulifaham na huelewi why watu wanachukuliwa mateka kweli,kwani una umri Gani?

Hata Form four umemaliza kweli
 
Mbona hujasema vita vya Ukraine na Mrusi hao pia waislam.

Mbona hujasema China na India au ulikuwa hujazaliwa.

Mbona hujasema Muingereza na mwafrika au muingereza ni muislam

Mbona hujasema US na European wote wana peleka silaha Ukraine au Warusi waislam

Mbona hujasema Tutsi na Hutu hao pia waislam

Mbona huujasema Angola wao kwa wao au walikuwa waislam

UKITAKA KUJUA WAKRISTO DAIMA NDIO WANAFATA WAISLAM tazama US, uingereza, wajeruman wafaransa, hawa wote nchi zao zimekuja kwenye nchi za warabu na kufanya mauji nadhani dini yenu ndio inafundisha vile ukiuwa mwarabu au muislam utapata pepo 😂
 
Hivi nini kiliwafanya hawa Hamas wawachokoze hawa Israel?maana wao ndio wanaumia sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…