Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Mkuu hapa Hawa watu hawawezi kukuelewaKuna baraka ya nje ya agano na baraka ya ndani ya agano. Isaka ana baraka tena nyingi mno za ndani ya agano la Mungu na kupitia yeye kizazi chake amezaliwa Mkombozi wa ulimwengu yaani Yesu Kristo ambapo na pia kuna urithi wa ardhi kwa Isaka Ishmael hana hizi baraka zote na hana urithi wa ardhi na zingine nyingi kwa kuwa si mtoto wa agano ni wa nje ya agano namaanisha agano kati ya Ibrahimu na Mungu. Kwa kupitia Ibrahimu then Isaka Mungu alijifunua tena ulimwenguni kuja kufanya ushirika na mwanadamu baada ya anguko la Adamu na Hawa. Sasa angalia kwa Ishamael alijifunua mungu wa namna gani asomaye na afahamu!
Wenzio wanafikiri hizi ni story!
Ss subiri waone
Naangalia hapa ,hamas wanasema Israel isipositisha vita eti wataanza kuwaua mateka🤣
Na Netanyau anewajibu, wawaue waone Hali itakua mbaya zaidi ya ilivyo Sasa na kwamba hatasitisha vita sbb alichokozwa!🇮🇱
Acha tuone mwisho wake