LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
hehehe mlivyo kichekesho sasa hapo matamko ya Mchina au Mrusi ndio yanawafariji ilhali Israel wanaendelea kutembeza kichapo, mpaka sasa mizoga ya HAMAS imefika 1,500
Mkuu waarabu wawe makini isije ikatokea vita vikubwa ule ukanda wa arabs.
Maana wasije wakatumi pua kuchukua maamuzi kuliko ubongo
 
Yes silaha zako ziko kwenye underground si wanajeshi.

Wanajeshi wa Hamasi mbona wako vitani kama kawaida nilicho sema ni vigumu kuzipiga. Silaha zao haziko kwenye majumba kupiga majumba wanajua wazi silaha hazipo pale, ni dalili wazi wameishiwa Israel na US .

UD na Israel wanataka tu kuonyesha ubabe wao kwa kuwauwa wanawake na watoto

Silaha za Hamasi hawezi kuzipiga hata wapige maboom miaka 😂

Wa Israel na Wamarekani wameona kuingia ground war watacharazwa na Hamasi

Wanapeleka hasira zao kuvunja majumba na kawauwa wanawake, watoto na wazee wasi na hatia et Super power vipi Super power anaogopa kuingia gaza 😂 ataishia vunja majumba tu na Hamasi atarusha missiles kama kawaida.
Washakufa 1.5k mpaka sasa boss
 
hehehe mlivyo kichekesho sasa hapo matamko ya Mchina au Mrusi ndio yanawafariji ilhali Israel wanaendelea kutembeza kichapo, mpaka sasa mizoga ya HAMAS imefika 1,500
Wameongelea wanajeshi wao wngp wamekufa au propaganda watakwambia Mia je ni kweli tulia tuone mwisho hii show nauwakika utacha bado ya Moto
 
Wameongelea wanajeshi wao wngp wamekufa au propaganda watakwambia Mia je ni kweli tulia tuone mwisho hii show nauwakika utacha bado ya Moto

Ustadhi pale sio vita yaani ni mauaji yanafanyika dhidi ndugu zako waarabu, wewe endelea kuchekelea humu halafu kesho utabinuka na mikanzu ukilalamika na kulia lia.....mwenyewe nimeona kule Telegram japo mimi ni timu Israel lakini sio kwa nilichokiona, nyie ni watu mliolaaniwa maana mnalianzisha kisha mnaishia kufanyiwa unyama kama wote.
 
Yanayoendelea huko kiukweli huwezi tazama mara mbili, ukipitia international laws pamoja na UN charter unaona yanaoendelea huko ni kama kile alichokisema Thomas Hobbes kuwa its a state of nature. Hatari tupu.
 
Ibrahim hawez kuwa muisrael kwamaana israel ilikuja baada ya isaka..

Ishmael hakuwa mtoto wa agano la Mungu kwa Ibrahimu kwa hiyo akawa lango la kupitisha vitu vingi sana ikiwemo dini, miungu, tabia na mengine mengi ndiyo maana waarabu wengi wapo hivyo walivyo na hayo mambo yao meusi.
Au tuseme Uchepukaji kwa Baba Ibrahim ndio umeleta haya? Though Bible inasema Mkewe Halali Sarah ndie aliyemruhusu amwingilie kijakazi wake wa kiarabu.

Hata hivyo Ibrahim angepaswa Kum consult Mungu kwanza. Mambo ya kulinda Imani Huwa magumu sana sometimes
 
Back
Top Bottom