LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Israel haina uwezo wa kupigana na nchi yoyote ikiachwa yenyewe. Hilo ndio somo tulilojifunza kwenye hivi vita.

Kesi zote za israel anazinunua US na kuzitakua kinyumenyume au moja kwa moja.
Mkuu hata palestina hawezi.
Ndo maana hata waarabu wanashirikiana.
Hata urusi kule hakuwa pekeake.

Ni kawaida kwenye vita vyovyote duniani.
 
Hizi conspiracy za kuanzishwa kwa Hamas hazifanyi isionekane ni kikundi cha kigaidi Wacha wavune walicho panda
 
Huyo mwanasiasa wako anakudanganya , hzo vurugu ni mission za watu ,
 
Kuna wadau wanasema Israel inafanya mauaji ya haraiki (genocide) uunaweza kisema hivyo, lakini najiuliza hiyo genocide huwa inakuwaje, ni piga nikupige au unapiga mwenzako akiwa katulia?
Mkuu mauaji la Kimbali inaamana nyingi kuna wengine wanasema kuwa.
1.Ni mauaji ya watu wengi kwa muda mfupi.
2. Wengine wanasema ni mauaji ambayo jamii moja inauwa watu wa jamii nyingine au watu wa taifa hili wanauwa watu wa taifa nyingine.
3. Na wengine wanasema kuuwawa kwa kundi flani au jamii flani ya watu kwa sababu wao ni akinani mfano; Hutu and tutsi( rwanda na burundi).

Au central africa ( wakristo na waislam).
 
Egypt imefunga Mpaka wake na Gaza, hakiingii wala kutoka kitu wala mtu under any condition.
Mpaka huo ndiyo njia pekee inayounganisha Gaza na Dunia na eneo lote la mpaka limezungushiwa ukuta mkubwa uweny ulinzi mzito wa askari na Camera.
 
Baada ya zoezi la kuwafumua Hamas kutoka juu kukamilikila, sasa ni ardhini, nyumba kwa nyumba, kitanda kwa kitanda - Gaza inakwenda kushuhudia operation tokomeza Hamas ya karne, ambayo itasimuliwa vizazi na vizazi.

View attachment 2778435
  • Israeli Defence Minister Yoav Gallant has pledged to launch a ground offensive in Gaza following Hamas’s surprise attack in Israel on Saturday.
  • Israeli forces continued pounding the Gaza Strip for a fourth night in a row, killing at least 950 Palestinians. The Israeli death toll has climbed to 1,200 people.
Haha ngoja tushuhudie ground battle lakini sio rahisi kiivyo.
 
Gaza boarder, Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant amewaambia wanajeshi wake alipokuwa anawaaga kuingia Gaza.

Tunahamia kwenye kosa kamili lililosababisha sisi kuwepo hapa, Hamas ilitaka mabadiliko katika mji wa Gaza na itabadilika digrii 180 kutoka kwa kile ilichofikiria.

Watajuta wakati huu sababu Gaza haitarudi kama ilivyokuwa, hii historia itaandikwa katika vitabu na hata vitabu vitakatifu vya dini.

Kuandika historia haijawahi kuwa jambo rahisi kama wengi wanavyodhani.

View attachment 2778443


Moderator naomba usiunganishe uzi huu na zile nyingine sababu hii statement haipo katika muendelezo.
Hii kauli mbona ni ya kibabe na kimamlaka na kihitimisho sana?
 
Kwa approach waliyotumia HAMAS kuwashambulia raia wasio na hatia wa Israel ni ngumu sana kwa Wapalestina kupata mataifa ya kuwaunga mkono
Mziki ni mnene, sasa ni safisha safisha mguu kwa mguu, nyumba kwa nyumba - hutakaa uwasikie HAMAS tena ndani ya Parestina.

  1. The Israeli military says hundreds of thousands of troops are near the Gaza border "ready to execute the mission we have been given"
  2. Israel is expected to launch a ground offensive on the Gaza Strip soon - it says the mission is to "make sure Hamas won't have any military capabilities"
 
Egypt imefunga Mpaka wake na Gaza, hakiingii wala kutoka kitu wala mtu under any condition.
Mpaka huo ndiyo njia pekee inayounganisha Gaza na Dunia na eneo lote la mpaka limezungushiwa ukuta mkubwa uweny ulinzi mzito wa askari na Camera.
Mkuu Israel wameshambulia maeneo ya mpaka wa misri na Gaza, na misri walisema wanataka kupeleka msaada kwa wagaza.
Israel walionya watambulia atakaye Peleka msaada, wao wakasema watapeleka hivyohivyo.

Baada ya mashumbulizi heavy wakaacha.
 
mkuu ile sio ardhi ya wapalestina, ni ardhi ya wayahudi, ulimwengu wote unalijua hilo na wewe unajua hvo, sema watu mnajaribu kuyumbisha dish tu, watafute historia kuwa mababu zao walitoka wapi mpaka wakafika kwenye ardhi ya watu, wakishajua waende huko,
Una uhakika na hili?


Wewe je una uhakika mababu zako wametoka kwenye nchi uliyopo sasa na unayoitambua kama nyumbani?...

.je ukifukuzwa uambiwe ufuate chimbuko lao urudi huko, upo tayari kwa hilo?
 
Jumuiya ya kiarabu (Arab league) imewatelekeza Wapalestina na kukumbatia ubeberu wa kimagharibu ambao ndio chanzo cha matatizo ya Wapalestina.

Wasaliti wakubwa hao kwa imani zao na kwa ndugu zao wa damu.

 
Una uhakika na hili?


Wewe je una uhakika mababu zako wametoka kwenye nchi uliyopo sasa na unayoitambua kama nyumbani?...

.je ukifukuzwa uambiwe ufuate chimbuko lao urudi huko, upo tayari kwa hilo?
ndio nifukuzwe kabisa kama nashindwa kuishi na majirani kistaarabu,
 
Mkuu Israel wameshambulia maeneo ya mpaka wa misri na Gaza, na misri walisema wanataka kupeleka msaada kwa wagaza.
Israel walionya watambulia atakaye Peleka msaada, wao wakasema watapeleka hivyohivyo.

Baada ya mashumbulizi heavy wakaacha.
Yeah sasa hivi ule mpaka wa Rafah umeshafungwa.
Hamas walipiga hesabu mbovu sana.
Huko Gaza sasa hivi watu wanakufa kwa majeruhi ya mashambulizi. Ikishafika Ijumaa, watu wataanza kufa kwa, njaa, kiu, magonjwa ya maambukizi n.k
Pia Dunia itaanza kuisahau Gaza kwakuwa hakutakuwa na taarifa nyingi kutokea Gaza kama ilivyo hivi sasa sababu ya kukosekana kwa umeme wa kuweza kuchajisha simu na vifaa vingine vya mawasiliano na vya kuchukulia matukio.
This is possibly the end of Gaza.
Mataifa ya Ulaya na Marekani hayawezi kuja na kauli ya kuitaka Israel kuacha mashambulizi wala ya kutaka wafanye mazungumzo ya amani kwa kuwa hata wao wangeguswa kama ilivyoguswa Israel, wangefanya kitu hichohicho.
Kama ilivyoshambuliwa Marekani kipindi kile, halafu aje mtu awaambie wakae meza moja kufanya mazungumzo ya amani.
Ni kama Tanzania ilipovamiwa na wale washenzi kule kusini, halafu aje mpuuzi kutwambia tukae na wale magaidi tufanye mazungumzo ya kutafuta amani.
Ili kufanikisha lengo lake, ni lazima Israel wakope mbinu iliyotumiwa na Tanzania kule kusini...unahamisha game mazima kwa kuitoa kwenye macho ya dunia na kuihamishia gizani huko.
 
Back
Top Bottom