LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
hao ma sponsor badala ya kudhamini mafunzo ya kigaidi na kimapinduzi, badala ya kudhamini roketi elfu 5 na utekaji wa watoto na wabibi, bora wangetumia pesa hizo kudhamini maendeleo ya watu wa gaza, ili kuondoa utegemezi wa kila huduma toka israel, ila vimashambulizi vya uchokozi kisha mnaachwa mteseke sio fair kwa kweli, bora ungekuwa vita ya israel na palestina ningeelewa, ila hii ni vita tya israel na magaidi hamas, vita ya kuwaumiza tu wana gaza, haya nyie hamas wapeni watu wenu chakula, maji, umeme na ulinzi.
mkikua kama taifa mtafanya mapinduzi miaka ijayo kwa sasa hamna lolote mnaloweza kuwafanya israel acheni kufungwa mota na muiran ambaye haumii hata kdg . msiwe kama ukraine anayechochewa na mmarekani huku marekani akiwatazama kwenye tv mnavyouliwa.
 
Hujielewi
Hawa waGaza si walilianzisha wao kuvamia Israeli na ninyi mkaendelea kuwasifu kwa nyimbo za Khaswida kwamba ni heroes.Sasa waIsraeli wameretaliate mnaanza tena kulaumu?Halafu maji ,umeme na chakula vinatoka Israeli.Yaani Israeli inawalisha na kuwanywesha watu wa Gaza pia kuwapa umeme Hao Watu .Halafu wakishakula na kushiba na kupata nguvu,wanashambulia Israeli na kutumia Umeme na fedha wanazopata toka Israeli kutengeneza maroketi na silaha nyingine ili kushambulia tena hiyohiyo,Israeli,Hii imekaaje?!!!🤔
 
Swala la kuoa binti yangu sikatai maana siwez mpangia mwanangu ndoa au kupenda mtu wake. Shida inakuja kenge amuite kafiri aisee
Sasa kama upo humu unawadhihaki siku wakikuolea mabinti zako uta waheshimu kama wakwe kweli ?
Kwani neno kafri lina maana gani katika tafsiri yako?
 
Sio mambo ya kushangilia lakini wahenga husema ,Usiazishe ugovi wa mawe ukiwa unaishi nyumba ya vioo. No water, no food no electricity no medical services until you release all captives. Hapa swali ni je hamas watakubali kuzanda au kanganimiza raia ,time will tell.
 
Collective punishment is unacceptable.
 
Hamas inaongoza Gaza. Na Fatah chama cha Mahmood Abas wanaongoza West Bank. West Bank ndio kuna wapalestina wengi na hakuna vita
 
Kwanini waliwateka! ? Yaani uniteke arafu ujifanye kunipa msaada baada ya kuona mambo yamefika shingoni.. yaaani mtu akuchome kisu kimakusudi arafu akuambie pole ninyi ni magaidi
 
Kwanini waliwateka! ? Yaani uniteke arafu ujifanye kunipa msaada baada ya kuona mambo yamefika shingoni.. yaaani mtu akuchome kisu kimakusudi arafu akuambie pole ninyi ni magaidi

Watu wapo vitani toka mwaka 1948 halafu unauliza kwanini wanatekana?
 
View attachment 2779707Israel kapatikana lol; siku 5 na watu 1300 kufa na wapalestina 1200 around the same figure. Walishazoea kuua wenzao maelfu wao 5 au 10 wamekufa na kujeruhiwa, vita imeisha lakini sasa cha mtee makuni wanakiona mwe.
Hahaha
Yaani tofauti ya 1200 Kwa 13000 ndo Israel waneipata?
Unaweza linganisha na miaka yote ya vita?
Maana ukilinganisha Bado hao Palestine wamepoteza zaidi,japo si sawa kufurahia vifo!
Eti vita imeisha ,ndugu upo Dunia gani?
 
Aiseee noma,🤔🤭🙌
Too bad
Na wala sibishi
Sbb haya mambo ht hapa kwetu yaliwahi kuwepo vikundi vya kipuuzi puuzi km hivi waliadanishwa kimyakimnywa maana walikuwa wanqjificha na kuwafundisha ,kuwamezesha chuki!
(Mkoa niliopo) walikamatwa wengi tu...
Jeahila polisi likafanya Yake
 
unapopambanana na magaidi, huhitaji jeshi bora tu you need something extra - magaidi ni watu washenzi tu hivi.

Watanyooka tu, achana na kitu kinaitwa njaa. 😀
Mkuu nadhani unaongea hivyo kwa sababu ya mihemko au chuki tu.

Kutumia chakula kama silaha ni kinyume cha sheria za kimataifa haijalishi unapambana na nani.

Vita hii vime fanya watu wengi watilie shaka weledi ya jeshi la Israel kwa sababu Israel ni moja wapo ya jeshi lenye kila aina ya vifaa vya kuiwezesha kufanya mambo kwa weledi ,lakini cha kushangaza inafanya mambo kiholela kabisa hasa kushambulia majengo na kuuwa raia hovyo hovyo.

Katika vita hii Israel imefanya shambulizi ya kiholela mno kiasi kwamba hata Baden kaona aibu na kumpigia Netanyau na kumuonya ya kuwa anatakiwa kufuata sheria za vita na ndio maana tangu jana mashambulizi ya Israel yamepungua kiasi.

Alafu ukizuia chakula unakuwa unawaathiri watu wengine na sio hamas kwasababu mpaka wanafanya hilo shambulizi walikuwa wamejipanga kwa akiba ya chakula kwa ajili ya wapiganaji wake.

Israel inatakiwa kujitofautisha na hamas.
 
Collective punishment is unacceptable.
A senior IDF official: "Everyone who participated in the massacre in Gaza will be eliminated." Anyone who hides them will be eliminated together with his family.'
 
Kutumia chakula kama silaha ni kinyume cha sheria za kimataifa haijalishi unapambana na nani.
sasa subiri hiyo haki ambayo wewe ulipokuwa unachoma watoto wa ki-Israel live huku ukirecord video na kushangia ni utu.
Sasa ndugu kama huelewi huo ni mwanzo tu, njia pekee ni kina mama na watoto kuondoka gaza, na gate ni MOJA tu ambalo litafunguliwa baadaye leo ama kesho.

Wanaume kuanzia 15 kuendelea bado wana shughuli pevu hapo Gaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…