Leonardo Harold
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 1,088
- 2,122
hao ma sponsor badala ya kudhamini mafunzo ya kigaidi na kimapinduzi, badala ya kudhamini roketi elfu 5 na utekaji wa watoto na wabibi, bora wangetumia pesa hizo kudhamini maendeleo ya watu wa gaza, ili kuondoa utegemezi wa kila huduma toka israel, ila vimashambulizi vya uchokozi kisha mnaachwa mteseke sio fair kwa kweli, bora ungekuwa vita ya israel na palestina ningeelewa, ila hii ni vita tya israel na magaidi hamas, vita ya kuwaumiza tu wana gaza, haya nyie hamas wapeni watu wenu chakula, maji, umeme na ulinzi.
mkikua kama taifa mtafanya mapinduzi miaka ijayo kwa sasa hamna lolote mnaloweza kuwafanya israel acheni kufungwa mota na muiran ambaye haumii hata kdg . msiwe kama ukraine anayechochewa na mmarekani huku marekani akiwatazama kwenye tv mnavyouliwa.