n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Huu ndio ukweli. wanavuna walichopanda, genge la wahuni linagharimu maisha ya watu wote wa gaza.HAWA WAPELESTINA WAACHE KUUDANGANYA ULIMWENGU WA LEO, WATU WAFANYE MAZOEZI NCHINI MWENU WATOKEE NCHINI MWENU WAKASHAMBULIE NCHI INGINE KWA SILAHA NZITO NZITO KUTOKEA PALESTINE ETI SEREKALI YAO ISIFAHAMU HAIWEZEKANI WAACHE KUWAONA WATU KAMA WAJINGA WANACHOPATA WANASTAHILI NA NDIO DHAMBI YAO YA KUFUGA MAKUNDI WANAYO YAFAHAMU.
walikuwa wametawanyika katika mataifa mbalimbali duniani, ndio waliamua kurudi katika nchi yao ya asili ambayo wakati hawapo kuna watu waliikalia, ikabadi wawatoe kwa nguvu na matokeo yake ndio hayo mapiganoKabla ya mwaka 1947, Israel ilikuwa wapi hapa duniani?
Sio yote yanayodakwa, yapo yanayofanikiwa kupita na kutuma upande wa pili. Ila hili ninawezekana kama wakifyatua mengi kw wakati mmoja kama Ile j'mosi. Alafu kingine hii ni njia inayotumika kufanya adui kupungukiwa na makombora ya air defence ili baadae mtakapomshambulia kwa makombora makubwa asiweze kuintercept, sasa kwa upande wa IDF, Hamas wamechemka pakubwa maana IDF ana disposal kubwa sanaApa akili kubwa ilitumika,sijaelewa ni kwann uwa wanaendelea kurusha makombora wakat yote uwa yanakuwa intercepted
Kuwauwa wanyonge?, watu wamejiamini wameingia nchi nyingine wameteka wameua UNAWEZAJE KUWAITA WANYONGE???Silaha za kuwauwa raia wanyonge wa Palestine hizo.
Badala ya kutafuta suluhisho wanageuka wachochezi, mawakala wa Ibilisi hawa.
Ukanda wa Gaza kuna mamlaka mbili ya Hamas iloingia mwaka 2006 baada ya kushinda uchaguzi na pia kuna mamlaka ya Palestina au Palestine Auhtority ambayo bosi wake ni Muhamad Abbas.HAWA WAPELESTINA WAACHE KUUDANGANYA ULIMWENGU WA LEO, WATU WAFANYE MAZOEZI NCHINI MWENU WATOKEE NCHINI MWENU WAKASHAMBULIE NCHI INGINE KWA SILAHA NZITO NZITO KUTOKEA PALESTINE ETI SEREKALI YAO ISIFAHAMU HAIWEZEKANI WAACHE KUWAONA WATU KAMA WAJINGA WANACHOPATA WANASTAHILI NA NDIO DHAMBI YAO YA KUFUGA MAKUNDI WANAYO YAFAHAMU.
Ni aibu au fundisho la kuheshimu mipaka ya nchi nyingine haya yakichekewe na sheria au hatua kali zisipocgukuliwa ni hatari sana, wapelestina wanakosa nguvu kwa sababu ya uvamizi wao wa ghafla kwenye taifa lingine huku sheria za kimataifa zikifahamika dhahiri.Kwakweli kinacho endelea gaza ni aibu kwa jeshi la Israel.
Tafuta kwanza ujue huu mzozo chimbuko lake nini.Kuwauwa wanyonge?, watu wamejiamini wameingia nchi nyingine wameteka wameua UNAWEZAJE KUWAITA WANYONGE???
Kabla ya Mwaka 1961 Tanganyika ilikuwa wapi.Kabla ya mwaka 1947, Israel ilikuwa wapi hapa duniani?
Mkuu vipi data zako za hamas kuadvance vimeishia wapo?Hamas ingekuwa na uwezo wa kijeshi kama wa Uganda au Tanzania Mimi na amini Israeli ingepigika vibaya mno nimegundua wanajeshi wengi wa Israeli uwezo wao wa kupambana mapambano ya ardhini ni mdogo kweli
Maana juzi ulisema mpk j5 Waisrael watafika 2k na zaidi waliouwawa.Hamas ingekuwa na uwezo wa kijeshi kama wa Uganda au Tanzania Mimi na amini Israeli ingepigika vibaya mno nimegundua wanajeshi wengi wa Israeli uwezo wao wa kupambana mapambano ya ardhini ni mdogo kweli
Ni sawa na kuuliza kabla ya wazungu kugawana Afrika pale Berlin conference Tanganyika ilikuwa wapi.Kiukweli natamani sanaaa Mnooo kulijua hili,
Sababu wanasema kabla ya 1947 Jina La Israel lilikuwepo,
Je watu wake walikuwa wanaishi wapi?
Najua Ilikuwepo Nchi inaitwa Palestine!
Nadhani wote walikuwa wanaishi humo,
Sasa Jina La Israel lilitokanaje? Walikuwa Nchi ndani ya Nchi?
Hamas ndo chama tawala toka 2007. Shida yao walikubali kuwapokea Muslim brotherhood na IS.HAWA WAPELESTINA WAACHE KUUDANGANYA ULIMWENGU WA LEO, WATU WAFANYE MAZOEZI NCHINI MWENU WATOKEE NCHINI MWENU WAKASHAMBULIE NCHI INGINE KWA SILAHA NZITO NZITO KUTOKEA PALESTINE ETI SEREKALI YAO ISIFAHAMU HAIWEZEKANI WAACHE KUWAONA WATU KAMA WAJINGA WANACHOPATA WANASTAHILI NA NDIO DHAMBI YAO YA KUFUGA MAKUNDI WANAYO YAFAHAMU.
Hamas walirudi nyuma ili kulinda mpaka WA Gaza na Israeli yaani Hamas wangekuwa na hata virafu 300 tu basi Jerusalem yote ile ingebebwaMkuu vipi data zako za hamas kuadvance vimeishia wapo?
Israeli wamekufa wengi hilo lipo waziMaana juzi ulisema mpk j5 Waisrael watafika 2k na zaidi waliouwawa.
Ndoto za asubui , afu ukiwa umelala chalivirafu 300
Mkuu wapalestina ni wengi zaidi, na ndio wanaonewa miaka yote wengi wapo kwenye vifusi.Israeli wamekufa wengi hilo lipo wazi