LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
HAWA WAPELESTINA WAACHE KUUDANGANYA ULIMWENGU WA LEO, WATU WAFANYE MAZOEZI NCHINI MWENU WATOKEE NCHINI MWENU WAKASHAMBULIE NCHI INGINE KWA SILAHA NZITO NZITO KUTOKEA PALESTINE ETI SEREKALI YAO ISIFAHAMU HAIWEZEKANI WAACHE KUWAONA WATU KAMA WAJINGA WANACHOPATA WANASTAHILI NA NDIO DHAMBI YAO YA KUFUGA MAKUNDI WANAYO YAFAHAMU.
Huu ndio ukweli. wanavuna walichopanda, genge la wahuni linagharimu maisha ya watu wote wa gaza.
 
Kabla ya mwaka 1947, Israel ilikuwa wapi hapa duniani?
walikuwa wametawanyika katika mataifa mbalimbali duniani, ndio waliamua kurudi katika nchi yao ya asili ambayo wakati hawapo kuna watu waliikalia, ikabadi wawatoe kwa nguvu na matokeo yake ndio hayo mapigano
 
Apa akili kubwa ilitumika,sijaelewa ni kwann uwa wanaendelea kurusha makombora wakat yote uwa yanakuwa intercepted
Sio yote yanayodakwa, yapo yanayofanikiwa kupita na kutuma upande wa pili. Ila hili ninawezekana kama wakifyatua mengi kw wakati mmoja kama Ile j'mosi. Alafu kingine hii ni njia inayotumika kufanya adui kupungukiwa na makombora ya air defence ili baadae mtakapomshambulia kwa makombora makubwa asiweze kuintercept, sasa kwa upande wa IDF, Hamas wamechemka pakubwa maana IDF ana disposal kubwa sana
 
Silaha za kuwauwa raia wanyonge wa Palestine hizo.

Badala ya kutafuta suluhisho wanageuka wachochezi, mawakala wa Ibilisi hawa.
Kuwauwa wanyonge?, watu wamejiamini wameingia nchi nyingine wameteka wameua UNAWEZAJE KUWAITA WANYONGE???
 
HAWA WAPELESTINA WAACHE KUUDANGANYA ULIMWENGU WA LEO, WATU WAFANYE MAZOEZI NCHINI MWENU WATOKEE NCHINI MWENU WAKASHAMBULIE NCHI INGINE KWA SILAHA NZITO NZITO KUTOKEA PALESTINE ETI SEREKALI YAO ISIFAHAMU HAIWEZEKANI WAACHE KUWAONA WATU KAMA WAJINGA WANACHOPATA WANASTAHILI NA NDIO DHAMBI YAO YA KUFUGA MAKUNDI WANAYO YAFAHAMU.
Ukanda wa Gaza kuna mamlaka mbili ya Hamas iloingia mwaka 2006 baada ya kushinda uchaguzi na pia kuna mamlaka ya Palestina au Palestine Auhtority ambayo bosi wake ni Muhamad Abbas.

Ndo maana hata Blinken kesho ataongea na Abbas kuangalia namna ya kusaidia kuokoa mateka.

Kiongozi wa Hamas yeye aishi Qatar na aongoza mipango yote kutokea hukohuko Qatar.

Hamas ni kama kundi la Taliban la Afghanistan.
 
Kwakweli kinacho endelea gaza ni aibu kwa jeshi la Israel.
Ni aibu au fundisho la kuheshimu mipaka ya nchi nyingine haya yakichekewe na sheria au hatua kali zisipocgukuliwa ni hatari sana, wapelestina wanakosa nguvu kwa sababu ya uvamizi wao wa ghafla kwenye taifa lingine huku sheria za kimataifa zikifahamika dhahiri.
 
Kiukweli natamani sanaaa Mnooo kulijua hili,
Sababu wanasema kabla ya 1947 Jina La Israel lilikuwepo,
Je watu wake walikuwa wanaishi wapi?
Najua Ilikuwepo Nchi inaitwa Palestine!
Nadhani wote walikuwa wanaishi humo,
Sasa Jina La Israel lilitokanaje? Walikuwa Nchi ndani ya Nchi?
Ni sawa na kuuliza kabla ya wazungu kugawana Afrika pale Berlin conference Tanganyika ilikuwa wapi.

Au tuwaulize Warumi walivyokuwa wanatawala Judea walikuwa wanatawala kabila gani. Na walipofanya Siege of Masada waliifanya dhidi ya jamii gani na eneo gani.

Au tuwaulize Waislamu Issa bin Mariam wanayemtaja kama nabii wa Allah, alizaliwa wapi na akakulia wapi na kabila lake ni lipi na hilo kabila kwao ni wapi.

Alafu tena tuwaulize Waislamu kabla ya kujenga Al Aqsa pale Jerusalem, eneo hilohilo kulikuwepo magofu ya jengo gani na la kina nani.

Tukijibu hayo maswali tutapata mwanga wa kwanini kuna kabila moja linajulikana lilisambaa, ila tunajiuliza kwanini lilisambaa na liliwezaje kusambaa kabla ya kuanza kuwa sehemu moja. Hiyo sehemu ni wapi.
 
Hamas kule ndani yao kuna makundi mengi ya wapiganaji , sio wate hamas ni wapalestina.

Afu hamas wanapewa msaada wa vitu vingi , mafunzo, siraha, Strategies za Mapigano, na kufundishwa namna ya kutengeneneza au niseme kuassemble rocket. Sio everything components za rocket wanaotengeneza wao NO.

Wanapewa msaada na Iran, Saudi Arabia na nchi zingine za kiarabu.

Tukio la juzi master mind alikuwa Iran kwa kupitia jamaa mmoja wamempachika jina la new osam binladen
 
Acha Israel ikajimegee tena kipande kikubwa zaidi cha eneo, hakuna muda wa maneno mingi.
 
HAWA WAPELESTINA WAACHE KUUDANGANYA ULIMWENGU WA LEO, WATU WAFANYE MAZOEZI NCHINI MWENU WATOKEE NCHINI MWENU WAKASHAMBULIE NCHI INGINE KWA SILAHA NZITO NZITO KUTOKEA PALESTINE ETI SEREKALI YAO ISIFAHAMU HAIWEZEKANI WAACHE KUWAONA WATU KAMA WAJINGA WANACHOPATA WANASTAHILI NA NDIO DHAMBI YAO YA KUFUGA MAKUNDI WANAYO YAFAHAMU.
Hamas ndo chama tawala toka 2007. Shida yao walikubali kuwapokea Muslim brotherhood na IS.
 
Back
Top Bottom