LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums

kabla ya mwaka 1947 Israel ilikuepo ila haikua official jew state! hivo kulikua na waisrael wachache ambao walikua wanaishi hapo na kupambana mara kwa mara na waarabu wa hayo maeneo!! ikumbukwe kua Hakukua na waarabu wanaojiita wapalestina !! Palestine ilikua ni kipande cha ardhi. Wapalestina wa leo n waarabu kutoka jordan,lebanone,Saudi Arabia na nchi zinazozunguka.

Baada ya kutangazwa kua kutakua na Nchi israel katika kipande hiki cha palestine ndipo waarabu wavamizi wa hayo maeneo wakaanza kupinga na wengine wakatka nchi jiran kumpinga na kumpiga Kafiri! Kama wanavoamin wao wakishakalia nchi hawatak watu wengine wakalie. Ndipo sasa ikatokea palestina
 
Hamas ingekuwa na uwezo wa kijeshi kama wa Uganda au Tanzania Mimi na amini Israeli ingepigika vibaya mno nimegundua wanajeshi wengi wa Israeli uwezo wao wa kupambana mapambano ya ardhini ni mdogo kweli
😂😂😂
Mkuu vipi data zako za hamas kuadvance vimeishia wapo?
Katika watu waongo yanapokuja maswala ya taarifa za vita comments zake zi
some kama unaangalia Ze Comedy ya kina Masanja mkandamizaji Hili swali hawezi kukujibu kamwe.Ukienda kwa mada za vita ya Russia na Ukraine ukamsoma kule ndiyo utamwelewa zaidi
 
Haya mkalale usiku huu
 
You're greatly mistaken. Israelites from whom Christ and Christians descended were not meant to colonize a single, tiny spot of land just to shut themselves in it forever.

These blessed people were to scatter all over the world spreading profound wonders and greatness of who the King of kings and Lord of lords is.

The Promised Land, the land of Israel as we know it was to the Jews what the manger in Bethlehem and Joseph's family both in biblical Palestine and Egypt were to Jesus -- a temporary habitation, refuge and a centre from which a great enlightening movement would eventually arise to encompass the whole world.

If the present Israel state is solely embracing God's previous promise of their rightful place in the Middle East as a reference and title deed to justify themselves as owners of the holy land, then they have clearly and outrightly lost the unique reason for which the Lord cut them from the heathen nations and planted them there in the first place.
 
Badala ya kupiga adui unabomoa maghorofa,huo ni ujinga na aibu kwa jeshi linalojidai la Israel,Hamas wenyewe wametulia sehemu na mateka wao,wanajua wale mbuzi sharti waje kuwakomboa
Sijui hata umewaza kwa kutumia nini mkuu!! Ila ngoja nikusaidie,
Hamas hawana makambi, Hamas hawana makazi maalum, Hamas hawavai uniforms na raia wa Gaza wako royal kwao sasa nikuulize katika hali kama hiyo utatumia mbinu Gani kupambana nao?
 
Kama Israel anaheahima mipaka ya mataifa mengine, kwanini leo amepiga mabomu airport za syria?
 
Ndugu, upende usipende huyu Israel kabarikiwa na yehova mwenyewe. Hata mlete mafuriko ya red sea mtalambwa tu. Ukimbariki utabarikiwa, ukimlaani lazima ulaanike refers case ya kina Balack na Balaam."Ni mlaanije yeye ambaye Bwana yehova amembariki"?
Mungu, ibariki Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…