jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Mikwara tu hiyo, wanatakiwa kuingia Gaza kuokoa watu wao
Kaa hapo,usisahau kuja na hashtag za pray for
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikwara tu hiyo, wanatakiwa kuingia Gaza kuokoa watu wao
Wapelestina wanapambana kwa 70+..hizo wanaona sherehe za Diwali tuKaa hapo,usisahau kuja na hashtag za pray for
Kiukweli natamani sanaaa Mnooo kulijua hili,
Sababu wanasema kabla ya 1947 Jina La Israel lilikuwepo,
Je watu wake walikuwa wanaishi wapi?
Najua Ilikuwepo Nchi inaitwa Palestine!
Nadhani wote walikuwa wanaishi humo,
Sasa Jina La Israel lilitokanaje? Walikuwa Nchi ndani ya Nchi?
Ndivyo wanavyotaka...kuna muda utafika wapalestina hawatakuwa na sehemLengo la Israel ni maeneo ndiyo kipaumbele chao, hayo maghorofa yakigeuka kifusi, wanajenga makazi ya walowezi 😄😄...deal done
View: https://www.youtube.com/live/wp2uDesB8a0?si=j_dp-0Ym1Uyv0rhg
Pitia sasa hivi uone mashambulizi ya rockets yanavyokuwa intercepted na Irone dome za Israel. Ukitengeneza account unakuwa na access ya kucomment moja kwa moja juu ya kinachoendelea sasa hivi.
😂😂😂Hamas ingekuwa na uwezo wa kijeshi kama wa Uganda au Tanzania Mimi na amini Israeli ingepigika vibaya mno nimegundua wanajeshi wengi wa Israeli uwezo wao wa kupambana mapambano ya ardhini ni mdogo kweli
Katika watu waongo yanapokuja maswala ya taarifa za vita comments zake ziMkuu vipi data zako za hamas kuadvance vimeishia wapo?
Hadi hivi sasa sababu kuu ya hii vita ni wao kupewa kaeneo kadogo walikozungukwa na Israel kupakana na bahari wakati hapo awali walikuwa nalo kubwa tuNdivyo wanavyotaka...kuna muda utafika wapalestina hawatakuwa na sehem
Naona umeamua kwenda nae bampa to bampa,tatizo hawezi kumbuka alichocoment hata jana yake tu.Maana juzi ulisema mpk j5 Waisrael watafika 2k na zaidi waliouwawa.
Haya mkalale usiku huu😂😂😂
Katika watu waongo yanapokuja maswala ya taarifa za vita comments zake zi
some kama unaangalia Ze Comedy ya kina Masanja mkandamizaji Hili swali hawezi kukujibu kamwe.Ukienda kwa mada za vita ya Russia na Ukraine ukamsoma kule ndiyo utamwelewa zaidi
You're greatly mistaken. Israelites from whom Christ and Christians descended were not meant to colonize a single, tiny spot of land just to shut themselves in it forever.Wewe ni Christian maamuma. Rudi Sunday school ukaanze upya kusoma habari za wana wa Israeli. Hayo maeneo ni maeneo ya Israel Mungu aliwapa urithi tangu enzi za babu yao Abraham na mipaka yao ipo wazi tatizo lao waliwaacha hawa Wafilisti, na wenzao hapo jirani bila kuwafyeka mapema kuna kipindi mpaka Joshua aliwamind akawaambia mbona mnakuwa walegevu kuiendea nchi aliyowapa Mungu na kwenda kumiliki?..Israel Mungu awabariki tu, they deserve that land tena waichukue Westbank, Gaza yote hata kule Lebanon ni kwa wana wa Israeli for your information.
Sijui hata umewaza kwa kutumia nini mkuu!! Ila ngoja nikusaidie,Badala ya kupiga adui unabomoa maghorofa,huo ni ujinga na aibu kwa jeshi linalojidai la Israel,Hamas wenyewe wametulia sehemu na mateka wao,wanajua wale mbuzi sharti waje kuwakomboa
Mungu Huwa anasafisha mpk mbegu za uharibifu😂HUU NDIO UKWELI. WANAVUNA WALICHOPANDA, GENGE LA WAHUNI LINAGHARIMU MAISHA YA WATU WOTE WA GAZA.
Hizo rocket zao sasa zimegeuka na kuwa kama mafataki kule Zanzibar wanaita fashi fashi huwa zinapigwa sana siku ya kuamkia sikukuu ya mapinduzi.hamas nao wanashambulia ila roket zao zinaishi hewani, WAMEYATIMBA
Na wa Alepo pia na vyote vimefungwa havifanyi kaziDamascus uwanja wa ndege ishapigwa mabomu na Israel muda mfupi ulopita. Hii ni kabla ya waziri wa mambo ya nje wa iran kutua uwanjani hapo.
Yajayo yanasikitisha...
Kama Israel anaheahima mipaka ya mataifa mengine, kwanini leo amepiga mabomu airport za syria?Ni aibu au fundisho la kuheshimu mipaka ya nchi nyingine haya yakichekewe na sheria au hatua kali zisipocgukuliwa ni hatari sana, wapelestina wanakosa nguvu kwa sababu ya uvamizi wao wa ghafla kwenye taifa lingine huku sheria za kimataifa zikifahamika dhahiri.
Huku unafurahi, kwanini kule Ukraine unalialia kwa kitu hichohicho??Acha Israel ikajimegee tena kipande kikubwa zaidi cha eneo, hakuna muda wa maneno mingi.
Anapigana na wanamgambo au majengo ya kilaia?Vita live ka movie yaan
Ndo maana wameandaa askari 300k yani ni operation ya mtaa kwa mtaa. nyumba mpaka nyumba, chumba mpaka chumba, mtu mpk mtu.Ndivyo wanavyotaka...kuna muda utafika wapalestina hawatakuwa na sehem
Umepimaje hili ?Hamas ingekuwa na uwezo wa kijeshi kama wa Uganda au Tanzania Mimi na amini Israeli ingepigika vibaya mno nimegundua wanajeshi wengi wa Israeli uwezo wao wa kupambana mapambano ya ardhini ni mdogo kweli
Ndugu, upende usipende huyu Israel kabarikiwa na yehova mwenyewe. Hata mlete mafuriko ya red sea mtalambwa tu. Ukimbariki utabarikiwa, ukimlaani lazima ulaanike refers case ya kina Balack na Balaam."Ni mlaanije yeye ambaye Bwana yehova amembariki"?You're greatly mistaken. Israelites from whom Christ and Christians descended were not meant to colonize a single, tiny spot of land just to shut themselves in it forever.
These blessed people were to scatter all over the world spreading profound wonders and greatness of who the King of kings and Lord of lords is.
The Promised Land, the land of Israel as we know it was to the Jews what the manger in Bethlehem and Joseph's family both in biblical Palestine and Egypt were to Jesus -- a temporary habitation, refuge and a centre from which a great enlightening movement would eventually arise to encompass the whole world.
If the present Israel state is solely embracing God's previous promise of their rightful place in the Middle East as a reference and title deed to justify themselves as owners of the holy land, then they have clearly and outrightly lost the unique reason for which the Lord cut them from the heathen nations and planted them there in the first place.