Nakala kwa:Nyongeza: wameshateuwa viogozi wapywa wa kiisraeli wa kutawala Gaza kama magavana na watendaji na ukumbuke Israel huwa ikichukua eneo huwa hawarirudishi
USSR
Ameandika kisanii ili kukwepa kuandika uhalisia.biafra hawakuwai kuua raia wema ila hamas wamefanya hivyo
Ngoja nimuite Bejamini Netanyahu atakujibu ila sisi wasangazua wa huku Lukunguni Mvomero hatuna majibu ya maswali yako.Mauaji ya raia yanayoendele Gaza kutokana na mashambulizi ya Israel kiukweli yanasikitisha na ki ubinadamu si sawa kabisaaa ni ya kulaani. Ila wakulaumiwa zaidi ni Hamas kwa kitendo ilichokifanya kuua raia wasio na hatia, kuwachoma moto/ kuwachinja watoto inatosha kusema hiki kikundi ni cha kigaidi dunia nzima ilipaswa kulaani pia kitendo kile walichofanya. Nina maswali wajuvi wa hizi mambo naombeni mnisaidie majibu yenye tija yasiyo egemea upande wowote.
Kabla ya shambulizi lolote kutokea huko Gaza je, Israel hutoa taarifa ya tahadhali kabla ya shambulizi au hushambulia bila taarifa?
Kama jibu ni ndio, sasa ni kwanini raia wanakufa katika mashambulizi hayo?
Kwanini wakazi wa Gaza hawajahama makazi yao hadi sasa ingawaje eneo hilo limegeuka uwanja wa vita?
Uhusiano wa Fatah na Hamas ukoje? Na je, Fatah anamsapoti Hamas?
Je, target hasa ya Hamas hasa ni ipi?
Je, maadui wa Hamas ni kina nani, kama ni Israel tu sasa kwanini inawauwa na kuwateka raia ambao wengine sio wa israel, hutumia kigezo gani kutengeneza uadui?
Je, kwanini nchi kama Misri iliyokaribu na Gaza inashindwa kuwapokea raia wa Palestina kama wakimbizi?
Je, target ya Israel ni ipi katika vita hii?
Duh!Ngoja nimuite Bejamini Netanyahu atakujibu ila sisi wasangazua wa huku Lukunguni Mvomero hatuna majibu ya maswali yako.
Fact check chochote unachokisikia kwenye Mainstream Media, hio ndiyo njia ya kwanza ya kukwepa Propagandabiafra hawakuwai kuua raia wema ila hamas wamefanya hivyo
History has a way of repeating itself.
“I want to see no Red Cross, no Caritas, no World Council of Churches, no Pope, no missionary, no UN delegation. I want to prevent even one Igbo(Biafra) from having even one piece of food to eat before their capitulation".
"We shoot at everything that moves and when our troops march into the centre of Igbo territory, we shoot at everything: even things that do not move”.
“All is fair in war and starvation is one of the weapons of war".
"I don’t see why we should feed our enemies fat in order for them to fight harder”.
--Ni maneno ya Benjamin Adekunle, (Commander, 3rd Marine Commander Division, Nigerian Army) aliyoyasema kupitia French Radio Reporter tarehe July 28, 1969.
--------+++--------+++------+++--------+++--------+++--
Nigeria war of aggression against Biafran people was supported and sponsored by British government, .
Over 5 million Biafrans were killed, one million children were starved to death.
Biafra massacre was justified with the silence of UN and the rest of the world.
Today history is repeating its way, but now between Israel and Palestine .
Fact check chochote unachokisikia kwenye Mainstream Media, hio ndiyo njia ya kwanza ya kukwepa Propaganda
Propaganda za kum frame adui yako kama "Shetani", mnyama anayefanya uovu ambao hauingii akilini kama kukata vichwa vya watoto au kula watoto, havijaanza leo
Si Sadam alikua na silaha za maangamizi / Nuclear? Zipo wapi?
Wa Libya walikua wanateseka wakati wa utawala wa Gadaffi? Ni kweli?
Juzi huyo mama ya EU alikua anailaani Russia kwa kukata supply ya Gas yake, kuwa ni kitendo cha kishetani kwa raia?
Leo Israel wamekata access ya Chakula na Madawa ambayo sio yao kwa wananchi zaidi ya Milioni 2 ambao hawana pa kwenda na huyo huyo mama ameapa kuwa pamoja na Israel kwa kila hali
Una wapa watu Milioni 2 masaa 24 kutoka kwenye nchi yao halafu unataka Binadam wa ku support? Ni wanyama wenzao kama U.S na EU watawa support
Bado mnaamini vyombo vyao vya habari?
Propaganda
Kwahiyo tunakubaliana Palestine ananyanyaswa na tunakubaliana anaonewa, je, njia anazotumia mkandamizi wake kumkandamiza Palestine unazijua?Mtu yeyote ana haki ya kujitetea kama usalama wake uko hatihati, mkuu.
Swali la msingi: Unajiteteaje? Kwa gharama ya uhai? Raia wasio na hatia? Kupoteza hata kile kidogo ulicho nacho?
Ikiwa ndivyo wamechagua, basi ni uamuzi mgumu na wa kishujaa sana kwa upande wao.
Wapalestina hawapaswi kubezwa wala kuchekwa. Nani ajuaye, huenda walikuwa wamefikia hatua ya kuchukia hata maisha na uhai wenyewe.
Hawa wanastahili kuhurumiwa na kusaidiwa kwa kila hali na kila nchi yenye fursa na uwezo na inayopenda amani duniani.
Kitendo chochote cha ukatili kwa pande zote mbili hakikubaliki.
Mfumo wa kutoa taarifa au taadhari ya bomu ulilipuliwa na hao israel. Hapo ni dozi ya kimyakimyaMauaji ya raia yanayoendele Gaza kutokana na mashambulizi ya Israel kiukweli yanasikitisha na ki ubinadamu si sawa kabisaaa ni ya kulaani. Ila wakulaumiwa zaidi ni Hamas kwa kitendo ilichokifanya kuua raia wasio na hatia, kuwachoma moto/ kuwachinja watoto inatosha kusema hiki kikundi ni cha kigaidi dunia nzima ilipaswa kulaani pia kitendo kile walichofanya. Nina maswali wajuvi wa hizi mambo naombeni mnisaidie majibu yenye tija yasiyo egemea upande wowote.
Kabla ya shambulizi lolote kutokea huko Gaza je, Israel hutoa taarifa ya tahadhali kabla ya shambulizi au hushambulia bila taarifa?
Kama jibu ni ndio, sasa ni kwanini raia wanakufa katika mashambulizi hayo?
Kwanini wakazi wa Gaza hawajahama makazi yao hadi sasa ingawaje eneo hilo limegeuka uwanja wa vita?
Uhusiano wa Fatah na Hamas ukoje? Na je, Fatah anamsapoti Hamas?
Je, target hasa ya Hamas hasa ni ipi?
Je, maadui wa Hamas ni kina nani, kama ni Israel tu sasa kwanini inawauwa na kuwateka raia ambao wengine sio wa israel, hutumia kigezo gani kutengeneza uadui?
Je, kwanini nchi kama Misri iliyokaribu na Gaza inashindwa kuwapokea raia wa Palestina kama wakimbizi?
Je, target ya Israel ni ipi katika vita hii?
Maelezo meengi cjaona ulipoilaan Hamas kwa kuchinja watoto. Unawalaumu media stream huku ukifanya kile kile.Fact check chochote unachokisikia kwenye Mainstream Media, hio ndiyo njia ya kwanza ya kukwepa Propaganda
Propaganda za kum frame adui yako kama "Shetani", mnyama anayefanya uovu ambao hauingii akilini kama kukata vichwa vya watoto au kula watoto, havijaanza leo
Si Sadam alikua na silaha za maangamizi / Nuclear? Zipo wapi?
Wa Libya walikua wanateseka wakati wa utawala wa Gadaffi? Ni kweli?
Juzi huyo mama ya EU alikua anailaani Russia kwa kukata supply ya Gas yake, kuwa ni kitendo cha kishetani kwa raia?
Leo Israel wamekata access ya Chakula na Madawa ambayo sio yao kwa wananchi zaidi ya Milioni 2 ambao hawana pa kwenda na huyo huyo mama ameapa kuwa pamoja na Israel kwa kila hali
Una wapa watu Milioni 2 masaa 24 kutoka kwenye nchi yao halafu unataka Binadam wa ku support? Ni wanyama wenzao kama U.S na EU watawa support
Bado mnaamini vyombo vyao vya habari?
Propaganda
Tulia mnyooshwe vita mliianza wenyewe, unakuaje mchokozi na huna mbwinu za kupiganaFact check chochote unachokisikia kwenye Mainstream Media, hio ndiyo njia ya kwanza ya kukwepa Propaganda