Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawaharibia au wanafukuzia ahadi za allah wenu.hawa Magaidi wanatuharibia dini yetu ya kiislam ionekana ni ya vita vita.
Tabia yetu ya kuingia na meli hapo ndio mtihani!Shirika la habari la AFP limeandaa orodha ya wageni 100 ambao wamethibitishwa kufariki, kutoweka, au kuchukuliwa mateka, kulingana na taarifa kutoka kwa mamlaka za kitaifa.Wengine wengi hawajulikanaji walipo
Marekani:27 wamekufa
Thailand:24 wamekufa
Ufaransa:15 wamekufa
Nepal:10 wamekufa
Argentina:Saba wamekufa
Ukraine:Saba wamekufa
Urusi:Wanne wamekufa
Uingereza:Wanne wamekufa
Chile:Wanne wamekufa
Austria:Watatu wamekufa
Belarusi:Watatu wamekufa
Kanada:Watatu wamekufa
Uchina:Watatu wamekufa
Ufilipino:Watatu wamekufa
Brazil:Watatu wamekufa
Peru:Wawili wamekufa
Romania:Wawili wamekufa
Australia, Azabajani, Kambodia, Ireland, Ureno, Uhispania, Uswizi, Kolombia, Paragwai:Mtu mmoja amekufa
Ujerumani, Mexico:Mateka kadhaa wamekamatwa
Italia, Paraguay, Sri Lanka, Tanzania:Kadhaa hawajulikani walipo
Acha kuuliza uliza maswali. Laani hili kundi lakisenge la kigaidi Hamas.Afrika ni sisi Tanzania tu
Swali nimeuliza wapi?Acha kuuliza uliza maswali. Laani hili kundi lakisenge la kigaidi Hamas.
Hamna baana. Weka wazi unawaunga mkono wateule ama HAMAS ili tujueSwali nimeuliza wapi?
Na sasa hali ipoje, ule ukanda wa Gaza ni asilimia ngapi ya ardhi?Israeli 56 na Palestina 44
Kuchukua Ardhi ya mwenzako kwa ubabe na ukatili wa kutisha kama aliokuwa anafanya Israel kwa miongo kadhaa.., Palestine hana haki ya kujitetea?Hakuna anayestahili kipigo, mkuu -- si Myahudi wala Mpalestina. Wote wana haki ya kuishi na kufurahia maisha ambayo Mola amemjalia kila binadamu duniani.
Jambo la msingi wakae meza moja ya mazungumzo na kusuluhisha mgogoro wao kwa amani.
Mazungumzo ya amani yana nguvu kubwa kuliko silaha zote hatari za Mrusi.
Nonsense, sasa ndio ajitetee kwa kuchinja raia wasio na hatia?. Hiyo ardhi ni mali ya wana wa Israeli.Kuchukua Ardhi ya mwenzako kwa ubabe na ukatili wa kutisha kama aliokuwa anafanya Israel kwa miongo kadhaa.., Palestine hana haki ya kujitetea?
Myebusi unavua nguo zote unataka kufanywa nini?HAMAS KUNDI LAKISENGE LA KIGAIDI NAVUA NGUO ZANGU ZOTE NAKUWALAANI HAPA CHUMBANI KWANGU.
HAMAS NDIO WATESI WA RAIA WA PALESTINA AMBAO HAWANA HATIA.
HAMAS DOESN'T REPRESENT PALESTINIANS.
MAUMBWA HAWA.
Nyongeza: wameshateuwa viogozi wapywa wa kiisraeli wa kutawala Gaza kama magavana na watendaji na ukumbuke Israel huwa ikichukua eneo huwa hawarirudishiDuniani kosa vyote lakini usikose akili, ugomvi wa miaka yote Kati ya Palestina na Israel ni ardhi, kwamba Palestina iliporwa ardhi yake na Israel na HAMAS ndo wanaojiamini kwamba Wana uwezo wa kupigana na Israel na kuishinda.
Pamoja na yote, Israel iliendelea kutambua maeneo kama Gaza kuwa ni mali ya Wapalestina.
Sasa hivi Gaza ndo kwa heri tena, inaenda kuchukuliwa yote na kuwa mali ya Israel baada ya HAMAS kufanya mauaji ya kushtukiza ya waisrael zaidi ya 900.
Taarifa za uhakika ni kwamba wanajeshi laki tatu,wengi wao wakiwa makomandoo Hatari kabisa,wanaingia Gaza ndani ya masaa sita yajayo kuua kila kiumbe watakachokikuta hapo.
Na kisha watajenga kambi za kijeshi na kuigeuza Gaza kuwa mali ya Israel milele yote,kama walivyofanya kwa Syria kwa kuipora milima ya Golan Baada ya vita vya siku sita.
Hao wapalestina zaidi ya milioni moja walioamriwa kuondoka Gaza,kamwe hawatakaa warudi tena.
HAMAS imewaponza ndugu zao,Iran ni mbwa anayebweka tu lakini hawezi kung'ata,huu ndo ulikuwa wakati mzuri sana kwa Iran kuingia vitani na Israel ili aonyeshe uanaume wake.
Misri na nchi zingine za kiarabu hawawezi hata kuota tu kupigana na Israel,wanaujua mziki wake,wa mwaka 1967.
Hatimaye Gaza inaenda kuwekwa kwenye Ramani ya Israel
"Tutakachofanya hakitasahaulika kwa vizazi na vizazi"
Benjamin Netanyau, alimaanisha kuwa Gaza ndo imeenda hivyo.
Siyo kirahisi kama unavyofikiri. Palestina itabakia milele.hakika naona Palestina yote ikiondoka jumla katika utambulisho wake duniani. Naona ardhi yote ya palestina Israeli ikija kutambulika kwa jina moja la Great Israel.
Mkaldayo Hamas nawalaaniMyebusi unavua nguo zote unataka kufanywa nini?
We umelewa mav.i sio burehakika naona Palestina yote ikiondoka jumla katika utambulisho wake duniani. Naona ardhi yote ya palestina Israeli ikija kutambulika kwa jina moja la Great Israel.
Wataalam kwanini hii Habari ni kubwa? Nini Israel ananufaika sana kurudisha mahusiano na Saudi 🇸🇦?
View: https://twitter.com/spectatorindex/status/1713098008940949566?t=xKfLpVM89Kt17qFq2vtrAg&s=19