Kijana soma acha uvivu, Irone done technology ya wa-Islael, Marekani aliwekeza hela nyingi sana kufanikisha hiyo project - na production yake ipo Marekani kama ulikuwa hujui.Sas irone dome ni za mmarekani? 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana soma acha uvivu, Irone done technology ya wa-Islael, Marekani aliwekeza hela nyingi sana kufanikisha hiyo project - na production yake ipo Marekani kama ulikuwa hujui.Sas irone dome ni za mmarekani? 😂😂😂
Hata kwa familia yake hana impact?Huyo nae ni wa kumtaja, mchumia tumbo alitaka kuleta ujinga wake.Alitaka kucheza na dikteta akafyatwa.
Huyo macho-ku-mchuzi hana impact yoyote duniani, hata kwao machame hana impact.
Hakuna anayestahili kipigo, mkuu -- si Myahudi wala Mpalestina. Wote wana haki ya kuishi na kufurahia maisha ambayo Mola amemjalia kila binadamu duniani.Kwahiyo katika hali ya uonezi kama huo, tunakubaliana kwamba mayahudi yanstahiki kila pigo wanalopata toka kwa Hamas, sivyo?
Kwaiyo unataka kusemaje mkuuKuna video moja wakina mama wa kipalestina wabobezi wa kupaka Hina wanawasiriba watoto kwa wino mwekundu ili ionekane wamejeruhiwa ili kutafuta huruma.
1. Hiroshima & Nagasaki.Hivi kwanini JAPAN high technology lakini mambo ya vita siwasikii???
Mikataba inawafunga, ila hao nyoko Wana spirit kubwa kubwa mno ya mapiganoHivi kwanini JAPAN high technology lakini mambo ya vita siwasikii???
Hujuhi hata na wewe unachokiandika hapa, sema someni wote mkaongeze maarifa since both of you mko emptyKijana soma acha uvivu, Irone done technology ya wa-Islael, Marekani aliwekeza hela nyingi sana kufanikisha hiyo project - na production yake ipo Marekani kama ulikuwa hujui.
Sio razima ashuhudie bali cha msigi ni wao kupata haki yao haijalishi ni wakati gani.Bahati mbaya sana si wewe,wala kizazi chako cha kwanza mpaka cha 10 mbele mtakaa mshuhudie hiki ulichokiandika hapa
Acha dhihaka mtoto wa kike haya yanayo watokea watu wa gaza, siku moja unaweza jikuta unayapitia pamoja na watoto wako ndani ya nchi yako maana siasa hazijawahi kutabilika.Sasa watakuwa wanapost vipi picha zao za kuomba Dunia iwaonee huruma
Hutakiwi kusikitika bali ufurahi kwasababu ulicho kitaka kimekamilika sasa una sikitika nn?Inasikitisha ila hatuna namna...
The Palestinian Nakba 1948
View attachment 2781580
The Palestinian Nakba 2023
View attachment 2781581
walichokosea wapalestina, baada ya kuvamia, wakaacha hadi majengo waliyojenga wayahudi, makaburi ya babu zao, kuta za hekalu n.k vipo hadi leo. kwahiyo wayahudi waliuwa wanarudi kwao. wapalestina hadi kufikia 1930s pale palikuwa hopeless tu, hawakujenga, hata majengo yaliyokuwepo yalijengwa na Roman empire (kina Pilato) na waingereza waliokuja kutawala. ila waarabu wao walikuwa wafuga mbuzi na kondoo tu.Swali la msingi ni kwamba kwa nini isiwe pia mali ya Wapalestina?
Maana kama ni uhamiaji na uvamizi, wote hawa wana sifa hiyo inayofanana.
rekebisha - walichokitaka hao waparestina.Hutakiwi kusikitika bali ufurahi kwasababu ulicho kitaka kimekamilika sasa una sikitika nn?
We jamaa mnafiki sana, mwanzoni ulikua unachekelea Israel iliposhambuliwa, kibao kimegeuka umeanza kutia huruma.Hutakiwi kusikitika bali ufurahi kwasababu ulicho kitaka kimekamilika sasa una sikitika nn?