The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
aache bangi huyu atakosa mabikra 72 shauri yakeAcha Bangi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aache bangi huyu atakosa mabikra 72 shauri yakeAcha Bangi.
Thank youLabda kuna habari uliikosa nikupatie pia!
Israel walivamia nchi ya Lebanon na waliitwanga vya kutosha. Mataifa tofauti pamoja na nchi za kiarabu kupitia baraza la usalama umoja wa mataifa walimtaka Israel asitishe vita nchini Lebanon. Kilochotokea Marekani alimkingia kifua kwa sababu ilikuwa ni faida kwa Israel. Kwani ilikuwa ni faida Israel angeliweza kuongeza mipaka.
Ila baada ya jeshi la Hizbullah kuingia vitani mchezo ulibadilika. Na hii Hizbullah kuingia vitani ni baada ya jeshi la nchi ya Lebanon kushindwa.
Kilichoendelea hakikua Israel kuipiga Lebanon bali ikawa piga nikupige. Matokeo yake mashambulizi yakawa yanatumwa mpaka Israel. Baada ya matokeo ya namna hiyo Marekani ndiyo akawa anaharakisha kwenye baraza la UN ufikie mpango wa amani baina ya Israel na Lebanon.
Kwa misingi hiyo huwezi kusema Hizbullah alipigwa! Ukienda Lebanon Hizbullah anapewa taswira ya mkombozi wa nchi. Lililoshindwa ni jeshi la nchi ya Lebanon.
yaan allah kutoa ahad ya mabikira 70 na mito ya pombe kwa watu wake na wakaipambania sio kitu serious?Ninachokiona ni kwamba haupo serious!
Hawa jamaa wanafanya utani, haya ni maigizo ya hali ya juu.
View: https://twitter.com/MrSinha_/status/1712998202902016204?t=LJM2hEXkX8IRtlC_bljS3w&s=19
Mkuu, mimi ni mtu mzima na nimeishi. Hivyo najua na nafahamu lugha ya picha ipoje!yaan allah kutoa ahad ya mabikira 70 na mito ya pombe kwa watu wake na wakaipambania sio kitu serious?
Kama umeitizama hiyo video tunaomba maoni YakoWewe inafahamika tangu huu Uzi uanze ni mtu mwenye chuki na wapalestina na waarabu na waislamu.
Sasa sijajua kama chuki ni sehemu yako ya ibada kwamba ukiifanya ndipo baraka za Mungu wako kwako zinaongezeka ama laa!
Chochote ambacho unakiabudu ama kukihusudu kwako ndicho Mungu wako basi kwa roho yako Mungu wako atakuwa ni mwenye chuki kubwa sana isiyomithilika!
Nukta yako ni nini haswa?Kama umeitizama hiyo video tunaomba maoni Yako
Aliye kwambia kushinda vita ni kuharibu na majengo na kuuwa watu hovyo ni nani?VITA VYA LEBANON 🇱🇧 2006 Angalia matokea yake, afu unasema umeshida vita kweli.
T14 Armata
View attachment 2781940View attachment 2781942View attachment 2781944View attachment 2781945View attachment 2781947View attachment 2781948View attachment 2781949View attachment 2781950View attachment 2781951View attachment 2781952View attachment 2781953View attachment 2781954View attachment 2781955View attachment 2781956
Kwa hio kuna taifa lingine kwenye bibilia au, afu Tanzania ni taifa la nani aliliumba Mtanzania gani 😂Israel hii ya sasa sio taida la mungu kwakua yanayo tendeka ndani ya Israel hayampenzi hata mungu sio miaka mingi kulikua na sherehe za mashoga hapo Israel sasa cjui kama mungu anabariki Hilo kwahyo hyo Israel inayoitwa taifa la mungu sioni sifa hzo kama wanazo
Kwa hio kuna taifa lingine kwenye bibilia au, afu Tanzania ni taifa la nani aliliumba Mtanzania gani 😂
View: https://youtu.be/Fh2yIJalrGw?si=PgE5GwiqFEkMN39RWe tazama jeshi la Israel wemepokea kichapo takatifu
Hawa jamaa wanafanya utani, haya ni maigizo ya hali ya juu.
View: https://twitter.com/MrSinha_/status/1712998202902016204?t=LJM2hEXkX8IRtlC_bljS3w&s=19
Mkristo akisema neno lolote kuhusu uislamu anaitwa mwenye chuki na anastahili kukatwa kichwa ila muislamu akiongea kitu kuhusu ukristo au akiua mkristo "Allahu Akbar" ni mfia dini.Wewe inafahamika tangu huu Uzi uanze ni mtu mwenye chuki na wapalestina na waarabu na waislamu.
Sasa sijajua kama chuki ni sehemu yako ya ibada kwamba ukiifanya ndipo baraka za Mungu wako kwako zinaongezeka ama laa!
Chochote ambacho unakiabudu ama kukihusudu kwako ndicho Mungu wako basi kwa roho yako Mungu wako atakuwa ni mwenye chuki kubwa sana isiyomithilika!
We una akili timamu??Kwahyo hakuna watoto walio uliwa na Israel gaza ndio unacho portray.
Unatoa michango kinafiki wewe ni kafiri na huwezi badilika unachuki. Mbona ukosoi hawa Israel Kwa wanacho kufanya au dini yko ndio inafundisha hvyo kutetea wayahudi kuona wap ni kizazi cha mungu wngne no kizazi cha shetani wanastahili kuangamizwa. Kafiri weweMkristo akisema neno lolote kuhusu uislamu anaitwa mwenye chuki na anastahili kukatwa kichwa ila muislamu akiongea kitu kuhusu ukristo au akiua mkristo "Allahu Akbar" ni mfia dini.
Kama kusema ukweli ni chuki, bac mimi nina chuki na mungu wangu ana chuki.
Ambacho hujui ni kwamba baba angu alikuwa muislamu na mm mwenyew nilivokuwa mdogo nilikuwa muislamu, huwez kunidanganya chochote kuhusu philosophy za kikristo na kiislamu.
Kama nina chuki na uislamu bac ninamchukia hadi baba angu mzazi na ndugu zake wote(bibi angu, wajomba zangu na Shangazi zangu) ambao kwanza walimtenga baba angu na kutishia kumuua baada ya kubadili dini, ila mm hadi leo mtoto wa kafir nawasaidia kila siku wakinihitaji hadi kweny masherehe yao nipo, michango mikubwa natoa mm, mm huyuhuyu waliomtenga baba angu.
Some other things are very personal sitaki tuu kuyasema hapa tuishie hapo.
SINA CHUKI NA PALESTINE.
SINA CHUKI NA WAARABU(NAFANYA NAO KAZI SANA).
SINA CHUKI NA WAISLAMU(NDUGU ZANGU WOTE UPANDE WA BABA NI WAISLAMU NA HOLIDAYS TUNAKARIBISHANA TUNAKULA MEZA MOJA)
SIWEZI KUMCHUKIA BINADAMU MWENZANGU, KAMA SINA CHUKI NA WALIOMTISHIA KUMUUA BABA ANGU NITAMCHUKIA NANI MWINGINE DUNIA HII??
TATIZO LAKO MZEE, HUJAZOEA KUSIKIA UKWELI NDO MAANA UNAONA KAMA CHUKI.
CRITICISM SIO CHUKI.
Kobazi wengi maamuma, huko tuendako mtakana mpaka ahadi zenu mlizo ahidiwa. Ukweli usemwe, mpate kupona. Israel na wabarikiwe na yehova.Mkristo akisema neno lolote kuhusu uislamu anaitwa mwenye chuki na anastahili kukatwa kichwa ila muislamu akiongea kitu kuhusu ukristo au akiua mkristo "Allahu Akbar" ni mfia dini.
Kama kusema ukweli ni chuki, bac mimi nina chuki na mungu wangu ana chuki.
Ambacho hujui ni kwamba baba angu alikuwa muislamu na mm mwenyew nilivokuwa mdogo nilikuwa muislamu, huwez kunidanganya chochote kuhusu philosophy za kikristo na kiislamu.
Kama nina chuki na uislamu bac ninamchukia hadi baba angu mzazi na ndugu zake wote(bibi angu, wajomba zangu na Shangazi zangu) ambao kwanza walimtenga baba angu na kutishia kumuua baada ya kubadili dini, ila mm hadi leo mtoto wa kafir nawasaidia kila siku wakinihitaji hadi kweny masherehe yao nipo, michango mikubwa natoa mm, mm huyuhuyu waliomtenga baba angu.
Some other things are very personal sitaki tuu kuyasema hapa tuishie hapo.
SINA CHUKI NA PALESTINE.
SINA CHUKI NA WAARABU(NAFANYA NAO KAZI SANA).
SINA CHUKI NA WAISLAMU(NDUGU ZANGU WOTE UPANDE WA BABA NI WAISLAMU NA HOLIDAYS TUNAKARIBISHANA TUNAKULA MEZA MOJA)
SIWEZI KUMCHUKIA BINADAMU MWENZANGU, KAMA SINA CHUKI NA WALIOMTISHIA KUMUUA BABA ANGU NITAMCHUKIA NANI MWINGINE DUNIA HII??
TATIZO LAKO MZEE, HUJAZOEA KUSIKIA UKWELI NDO MAANA UNAONA KAMA CHUKI.
CRITICISM SIO CHUKI.
Kaa kimya.Unatoa michango kinafiki wewe ni kafiri na huwezi badilika unachuki. Mbona ukosoi hawa Israel Kwa wanacho kufanya au dini yko ndio inafundisha hvyo kutetea wayahudi kuona wap ni kizazi cha mungu wngne no kizazi cha shetani wanastahili kuangamizwa. Kafiri wewe
Nisijue msimamo wako wakati unajiweka wazi kuwa Una chuki Kwa sababu Baba yko aliitwa kafiri . Ulitaka wamuitaje labda kwakua alitoka kwenye uislam ni Hali yke alipinga uislam au unajua maana ya kafir ni tusi sio tusi Bali ni MTU ambaye anampnga mungu Yan Allah na kupinga dini yke ya kislam au MTU ambaye afati uislam Sawa we kafirKaa kimya.
Hujui unachoongea wala hujui msimamo wangu.