LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Thank you
 
yaan allah kutoa ahad ya mabikira 70 na mito ya pombe kwa watu wake na wakaipambania sio kitu serious?
Mkuu, mimi ni mtu mzima na nimeishi. Hivyo najua na nafahamu lugha ya picha ipoje!

Sasa mimi si mtu wa burudani hiyo unayotaka kuburudisha. Wanaohusika utakuja kuburudika nao!

Uwe na subira, watakuja kuburudika nawe!
 
Kama umeitizama hiyo video tunaomba maoni Yako
 
Kama umeitizama hiyo video tunaomba maoni Yako
Nukta yako ni nini haswa?

Maoni yangu: Siwezi kuisadiki na siwezi kuikataa!

Kwa sababu kwenye vita pande zote mbili kunakuwa na propaganda na hili lupo wazi linafahamika.

Ila unapochukua upande mmoja kanakwamba yote hayatokei pande 2 huo unakuwa ni unafiki. Ndicho ambacho anachokifanya huyo aliyoiweka hiyo link. Wasomaji tupo hivyo tangu mwanzo wa Uzi mpaka sasa tunapitia kila kurasa na kufahamu mtu huyu haswaa ni nani! Haya ndiyo maoni yangu.

Sasa labda nikuulize tena, nukta yako ni nini haswa!
 
Aliye kwambia kushinda vita ni kuharibu na majengo na kuuwa watu hovyo ni nani?

Kushinda vita ni kutimiza lengo lililo kupeleka vitani ukishindwa kutimiza lengo lililo kupeleka vitani kwenye tafsiri ya vita ni kuwa umeshindwa vita haijalishi umeuwa watu wangapi au umefanya uharibifu kiasi gani.
 
Kwa hio kuna taifa lingine kwenye bibilia au, afu Tanzania ni taifa la nani aliliumba Mtanzania gani 😂


View: https://youtu.be/Fh2yIJalrGw?si=PgE5GwiqFEkMN39RWe tazama jeshi la Israel wemepokea kichapo takatifu
 
Mkristo akisema neno lolote kuhusu uislamu anaitwa mwenye chuki na anastahili kukatwa kichwa ila muislamu akiongea kitu kuhusu ukristo au akiua mkristo "Allahu Akbar" ni mfia dini.

Kama kusema ukweli ni chuki, bac mimi nina chuki na mungu wangu ana chuki.

Ambacho hujui ni kwamba baba angu alikuwa muislamu na mm mwenyew nilivokuwa mdogo nilikuwa muislamu, huwez kunidanganya chochote kuhusu philosophy za kikristo na kiislamu.

Kama nina chuki na uislamu bac ninamchukia hadi baba angu mzazi na ndugu zake wote(bibi angu, wajomba zangu na Shangazi zangu) ambao kwanza walimtenga baba angu na kutishia kumuua baada ya kubadili dini, ila mm hadi leo mtoto wa kafir nawasaidia kila siku wakinihitaji hadi kweny masherehe yao nipo, michango mikubwa natoa mm, mm huyuhuyu waliomtenga baba angu.

Some other things are very personal sitaki tuu kuyasema hapa tuishie hapo.

SINA CHUKI NA PALESTINE.
SINA CHUKI NA WAARABU(NAFANYA NAO KAZI SANA).
SINA CHUKI NA WAISLAMU(NDUGU ZANGU WOTE UPANDE WA BABA NI WAISLAMU NA HOLIDAYS TUNAKARIBISHANA TUNAKULA MEZA MOJA)

SIWEZI KUMCHUKIA BINADAMU MWENZANGU, KAMA SINA CHUKI NA WALIOMTISHIA KUMUUA BABA ANGU NITAMCHUKIA NANI MWINGINE DUNIA HII??

TATIZO LAKO MZEE, HUJAZOEA KUSIKIA UKWELI NDO MAANA UNAONA KAMA CHUKI.

CRITICISM SIO CHUKI.
 
Unatoa michango kinafiki wewe ni kafiri na huwezi badilika unachuki. Mbona ukosoi hawa Israel Kwa wanacho kufanya au dini yko ndio inafundisha hvyo kutetea wayahudi kuona wap ni kizazi cha mungu wngne no kizazi cha shetani wanastahili kuangamizwa. Kafiri wewe
 
Kobazi wengi maamuma, huko tuendako mtakana mpaka ahadi zenu mlizo ahidiwa. Ukweli usemwe, mpate kupona. Israel na wabarikiwe na yehova.
 
Kaa kimya.
Hujui unachoongea wala hujui msimamo wangu.
 
Kaa kimya.
Hujui unachoongea wala hujui msimamo wangu.
Nisijue msimamo wako wakati unajiweka wazi kuwa Una chuki Kwa sababu Baba yko aliitwa kafiri . Ulitaka wamuitaje labda kwakua alitoka kwenye uislam ni Hali yke alipinga uislam au unajua maana ya kafir ni tusi sio tusi Bali ni MTU ambaye anampnga mungu Yan Allah na kupinga dini yke ya kislam au MTU ambaye afati uislam Sawa we kafir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…